National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,177
- 56,121
Nzuri sana hii mkuu, nimeupenda moyo wakoKwangu mimi
1. Kutembelea wagonjwa hospitalini nikitoka hapo napata amani kubwa.
2. Kutoa kitu kwa ajili ya masikini bila kuombwa nayo napata amani sana.
hii imekaa njema sana mzee.. salute mzeeKusaidia kwangu ni burudani mnooo.
una moyo mzuri sana Man ..kusaidia mtu hasa asiejiweza(wahitaji).
Lazima uwe tajiri mzee1.kutoa kwa watu wenye uhitaji
2. Kuwapa wazazi wangu
3. Kula/ kununua kitu ninachokipenda kwenda maeneo ya kujifunza na kuongeza Ideas
4. Kuinvest kwenye business alafu nipate faida😊
Una jua mkuu, Nime toka katika familia flani hivi choka mbaya.
Namshukuru Mungu kwa hivi nilivyo hawa watu wanahitaji kutoka kwetu.una moyo mzuri sana Man ..
Mungu akufanyie njia pasipo na njia mkuu.. una moyo mzuri sana mzee baba 😍😊Una jus mkuu, Nime toka katika familia flani hivi choka mbaya.
👉So naujua umasikini nje ndani, Nime uishi na kuuona pia.
👉Nina hasira na kitu kina itwa umasikini, so huwa najitahidi nipambane Kama so kwa ajili yangu, nyuma yangu Basi I we hata walio nizunguka.
Hakika umenena.. neno jema.. namie najifunza kutoka kwenye mioyo mizuri kama yenu hapaNamshukuru Mungu kwa hivi nilivyo hawa watu wanahitaji kutoka kwetu.
Njema sana mkuu, una moyo wa kifalme mzee-kuwatumia pesa na kuwanunulia mahitaji wazazi wangu
- kutoa sadaka na michango Kanisani
-kuwasaidia wahitaji