Usijumuishe ndugu yangu sio wote, inategemea na aina ya muoji. Ila muoaji mwenye kujua wajubu wake Hilo unalosema halisimami.Mimi mwanamke anayeolewa kizazi hiki bila kiwa na kijishughuli chochote namuonea huruma! Ni mm lakini...!
Wewe jamaa una phobia ya wanawake walio independent na free thinkers, hii hali inakufanya uendelee ku date na magarasaMmmmmmhmn huu ushauri umetoa wapi kwanza tuanzie hapo?!
Hivi ndoa kumbe zinawazuia wanawake kutafuta maisha?!
Halafu swali jingine unatafuta maisha then uoe au uolewe?!
Sasa naelewa kwann mabinti wengi sasa hivi hali zao sio nzuri kwenye mahusiano.
Mawazo yako mkuu! LolUsijumuishe ndugu yangu sio wote, inategemea na aina ya muoji. Ila muoaji mwenye kujua wajubu wake Hilo unalosema halisimami.
Una akili sana! Anaongoza humu..sijui ni inferiority! Anaongoza humu mie aina ya watu wa hvi hapana hata kuinteract nao kbsWewe jamaa una phobia ya wanawake walio independent na free thinkers, hii hali inakufanya uendelee ku date na magarasa
Mimi kwa uzoefu wangu nchini Tanzania watu wazima wengi sana kitu cha kwanza wanachojutia ni kutokuzingatia elimu wakati wa ujana wao. Hili hata bibi yangu ambaye alikuwa hajui kusoma alikuwa ananiambia. Alikuwa ananiambia ningekuwa kwenye umri wako ningesoma kwa bidii sana sana. Japo la pili ni kuoa/kuolewa. Wengi utasikia wanasema ningekuwa ndiyo naoa/naolewa sasa hivi ningetumia muda kufanya uchaguzi na nisingekuwa na haraka kabisa.Una akili sana! Anaongoza humu..sijui ni inferiority! Anaongoza humu mie aina ya watu wa hvi hapana hata kuinteract nao kbs
Humo humo mkuu!Mimi kwa uzoefu wangu nchini Tanzania watu wazima wengi sana kitu cha kwanza wanachojutia ni kutokuzingatia elimu wakati wa ujana wao. Hili hata bibi yangu ambaye alikuwa hajui kusoma alikuwa ananiambia. Alikuwa ananiambia ningekuwa kwenye umri wako ningesoma kwa bidii sana sana. Japo la pili ni kuoa/kuolewa. Wengi utasikia wanasema ningekuwa ndiyo naoa sasa hivi ningetumia muda kufanya uchaguzi na nisingekuwa na haraka kabisa.
Mkuu hayo mawili nilikuwa naambiwa sana sana lakini ajabu ni kwamba hata mimi sasa hivi naona ningeweza kurudisha muda nyuma ndiyo ningerebesha.Humo humo mkuu!
naupenda Sana wimbo wa AY ule wa zamani kidogo unawasifia wakina mama watafutaji.Una akili sana! Anaongoza humu..sijui ni inferiority! Anaongoza humu mie aina ya watu wa hvi hapana hata kuinteract nao kbs
Kaka kama una nafasi kasome...au soma online ! Mm kuna elimu naihitaji sana najisomea online kimtindo!Mkuu hayo mawili nilikuwa naambiwa sana sana lakini ajabu ni kwamba hata mimi sasa hivi naona ningeweza kurudisha muda nyuma ndiyo ningerebesha.
Mnataka kuwa abusive hamna jingine..tumeamkanaupenda Sana wimbo wa AY ule wa zamani kidogo unawasifia wakina mama watafutaji.
Mimi wasi wasi wangu mwana dada anapoingia kwenye ndoa akiwa na wazo ndoa ikinishinda sio shida kwani Ni hiki kitani save.
Happy akikutana na changamoto ngumu kwenye ndoa hataivumilia Sana kwa sababu hata akitoka kwenye ndoa hatakuwa kwenye wakati mgumu kwa sababubu ana pakuendelea na maisha, Ni vizuri mno lakini hatari Ni kubwa kuliko unavyodhani wewe kwamba binti yako utahakikisha hataolewa asipo kuwa na B. Hofu ni ataiipa value hip B kuliko ndoa.
Wewe jamaa una phobia ya wanawake walio independent na free thinkers, hii hali inakufanya uendelee ku date na magarasa
Kumbe na ww unamsomaga eh...! Mie had nasisimkwa aiseeAna shida huyo something is not okay kwa bichwa lake
Ana negative energy na hate kama vile mama yake alimkosea nini sijui maskini.....
Excuse me, do i know you?!Wewe jamaa una phobia ya wanawake walio independent na free thinkers, hii hali inakufanya uendelee ku date na magarasa
Tegemea vijana wetu Leo huko mbeleni wakiongea kinyume Cha watu wasima wa leoMimi kwa uzoefu wangu nchini Tanzania watu wazima wengi sana kitu cha kwanza wanachojutia ni kutokuzingatia elimu wakati wa ujana wao. Hili hata bibi yangu ambaye alikuwa hajui kusoma alikuwa ananiambia. Alikuwa ananiambia ningekuwa kwenye umri wako ningesoma kwa bidii sana sana. Japo la pili ni kuoa/kuolewa. Wengi utasikia wanasema ningekuwa ndiyo naoa/naolewa sasa hivi ningetumia muda kufanya uchaguzi na nisingekuwa na haraka kabisa.
Haunifai ila sisi tunakujua na kukufahamuExcuse me, do i know you?!
Anatakiwa Samcezar apate mwanasaikolojia ampe msaada, la sivyo issues zake na wanawake hususan ma single moms itamsambaratisha sanaAna shida huyo something is not okay kwa bichwa lake
Ana negative energy na hate kama vile mama yake alimkosea nini sijui maskini.....
Kumbe na ww unamsomaga eh...! Mie had nasisimkwa aisee
Unatoa ushauri kwa nani?[emoji3][emoji3][emoji3]..basi kila mtu anawaza anavyoona yeye mm ndo ushauri wangu huo hata nikiwa na binti ntahakikisha ana kitu cha kujishikizA
πππ! Yaani ni shida jamaniAnatakiwa Samcezar apate mwanasaikolojia ampe msaada, la sivyo issues zake na wanawake hususan ma single moms itamsambaratisha sana