Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
Kuna mabungila hapa hayajielewi...! Angalia vyanzo vyote vya vipigo na mauaji .chanzo huwa huko ! Aka! Somesheni watoto wenu wakike kama mnavyowasomesha wakiume ! Itawasaidia sana maishaniHeshima kwako madam atakayekupinga atakuwa ana matatizo kiakili umeongea ukweli mtupu!!
Kuna uzi wa wadada wanaozalishwa bila kuolewa wee alikua bitter utadhan dada zake wako hvyo . Yaan akiona unatoa wazo lako anakuita single mom umezalishwa tu umetekelezwa..utadhan kuwa singo mom ni curse!😅😅!Ana makasiriko huyo hatarii
Kuna siku alinishambulia kwenye post yangu matumizi ya K yangu ila alini attack kama vile ana ubia kwenye K yangu nikabaki kushangaa
Toka hio siku nikipita nikiona comment zake ni za hivyo hivyo tu nikajua kumbe sikukosea yeye ndio ana shida
Just interact with him, he may be healed in the processUna akili sana! Anaongoza humu..sijui ni inferiority! Anaongoza humu mie aina ya watu wa hvi hapana hata kuinteract nao kbs
Never jombaaJust interact with him, he may be healed in the process
Mmmmmmhmn hebu isome vema hii comment yako naona umejichanganya somewhere. Umesema "wanawake wengi wanakuwa abusive sana kisa hawana elimu" (mwanamke anakuje abusive kisa hana elimu au umemaanisha anakuwa abused kwasababu hana elimu)Ndo nachoweza kuwashauri....wanawake wengi wanakua abusive sana kisa hawana elimu..na wenyewe elimu wananyanyaswa kisa hawana kitu...naishia hapa
Very trueKila zama na kitabu chake,maisha waliyoishi wazee enzi hizo ni tofauti kabisa na maisha ya sasa,
Huwezi kutumia formula ya zamani ili kuishi maisha ya sasa,
Take life easy and enjoy ur life before it's too late.
Huo uzee kwiioo kwanza utaufikia lini takwimu zinasema 40 hata ukiangalia tunapoishi kuifika 40 ni mbinde.Niliwahi kuwasikia wakinena ya kuwa MAISHA YAKO NI YAKO BINAFSI na utafute kwa ajili yako na watoto ,ukipata KINGI basi punguza sifa za "kuwabeba sana watu kiuchumi" ili USIFIWE ,UTUKUZWE NA KUPENDWA....
Fainali uzeeni....
Labda una uzito kuelewa..naongelea wanawake aina 2..wasio na elimu na wenye elimu.. umemaliza chuo paap ukaolewa bila hata kuwa na ajira...utakuwa abusive kisa upo tu huna lolote financially uko hohehahe..na yule asiye na elimu naye atanyanyasika kisa hajasoma huna la kumfanya! Unamtegemea mtu kila kituMmmmmmhmn hebu isome vema hii comment yako naona umejichanganya somewhere. Umesema "wanawake wengi wanakuwa abusive sana kisa hawana elimu" (mwanamke anakuje abusive kisa hana elimu au umemaanisha anakuwa abused kwasababu hana elimu)
Kisha unasema na "wenyewe elimu wananyanyaswa kisa hawana kitu" (Hapa sijakupata kabisa).
So jaribu kuhariri comment yako iwe na ujumbe uliokusudia utufikie.
Hivi hiki ulichokisema hata wewe unakiamini, kuwa kuna mwanaume anataka kuwa na mke aidha awe msomi au sio msomi halafu amekaa tu hana mishe yoyote ya kusapoti nguvu ya uchumi wa familia?!Mm nataka na mtoto wa kike akili ichangamke..umesoma lakini upo tu huna chochote cha kufanya kazi kuzaa tu nakulea ...umeagana na Mungu ww? ..hayo ni mengine...!ni ziada
Una miaka mingapi kwanza? Umeoa? Basi tembea uone ..au unajitoa ufahamuHivi hiki ulichokisema hata wewe unakiamini, kuwa kuna mwanaume anataka kuwa na mke aidha awe msomi au sio msomi halafu amekaa tu hana mishe yoyote ya kusapoti nguvu ya uchumi wa familia?!
Hata watoto wakike wasisitize hayo mkuuMie nikifikia huo uzee nitawambia wanangu hasa wa kiume katika Dunia hii hakikisha unapata pesa kwa njia yoyote ile kutokuwa na pesa kunaondo utu wako kabisa.
Same to us!Kosea vyote lakini usikosee kuoa kwa sisi wanaume,unaweza kuwa na mwanamke akakuchanganya ukapoteza direction ya kila kitu maishani.
Unasisimkaje sasa?!Kumbe na ww unamsomaga eh...! Mie had nasisimkwa aisee
Mmmmmmhmn hauwezi kunifahamu hadi nikupe access..... You are not that smart [emoji23][emoji23][emoji23]Haunifai ila sisi tunakujua na kukufahamu
Knowing you in person has nothing to do with me getting accessMmmmmmhmn hauwezi kunifahamu hadi nikupe access..... You are not that smart [emoji23][emoji23][emoji23]
siungi mkono unyanyasaji wa wanawake sababu ya kutokuwa na kipato au Elimu, tahadhari elimu na kipato vyote vinaweza vinaweza kujenga au kuibomoa familia, inatagemeana na tabia ya mke mwenyewe. Naunga mkono kwa mke kuwa na kipato na elimu lakini atambue wajibu wake kwenye nafasi yake kama mke, kinyume chake anaweza kuishia kuwa frustratedNdo nachoweza kuwashauri....wanawake wengi wanakua abusive sana kisa hawana elimu..na wenyewe elimu wananyanyaswa kisa hawana kitu...naishia hapa
Ni kweli kuhusu nn? Mm sipend mwanaume anayemdharau mwanamkr kwa aina yyt ile..! Damu yangu huwa inasisimka ..!maana kama hela wote tunajua kutafta sasa iweje unichukulia poapoa tu..hahahaaa waleleeeUnasisimkaje sasa?!
Jambo kama si kweli halitakiwi kukustua au kukufedhesha ila kama ni kweli then lazima utarreact.