Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
Ndo maana yangu hiyo..na mwanaumr atambue wajibu wakr..la sivyo ataishia kuwa frustrated toosiungi mkono unyanyasaji wa wanawake sababu ya kutokuwa na kipato au Elimu, tahadhari elimu na kipato vyote vinaweza vinaweza kujenga au kuibomoa familia, inatagemeana na tabia ya mke mwenyewe. Naunga mkono kwa mke kuwa na kipato na elimu lakini atambue wajibu wake kwenye nafasi yake kama mke, kinyume chake anaweza kuishia kuwa frustrated
Sasa naenda kwa mwanasaikolojia kupata msaada gani au kwa program gani?! [emoji23][emoji23][emoji23]Anatakiwa Samcezar apate mwanasaikolojia ampe msaada, la sivyo issues zake na wanawake hususan ma single moms itamsambaratisha sana
Na ni kweli sio vema kumlaumu mtu na haujui why ana behave kwa namna fulani bila kumuelewa kwa kina.Ana mihasira huyo na wanawake
Kuna watu tusiwalaumu sana ni historia zao za nyuma kum judge hapa ni kumuonea bure
We unamuacha tu atoe shit zake aridhike siku ipite[emoji3][emoji3]
So unakana ulicho comment pale juu?!Jitafakari tu...aliyekuambia nadhani ni mwanaume mwenzako...unasomeka hivyo
Kusaidia kitu gani ambacho nilishawahi kusema nina shida nacho?!Unaweza kumsaidia ?
Unatema sumuWatoto wa kike kuolewa wakiwa hawana kipato chao...unamaliza chuo unaolewa..mabinti wajitahidi wasifanye haya mambo...watafute kwanza maisha yao ndo waingie ndoani, sio unaolewa unamtegemea mume tu kwakila kitu! Akifa je?
Akikuolea mke wa pili je?.
Tumieni elimu zenu mlizopewa na wazazi wenu !
Sasa unaanza kukosa adabu, naona unaniletea kauli za kutafuta kuvunjiana heshima. Hayo ya kuokotana chooni tumefikaje hapo?!Uzuri mtu ukishamjua ana shida Dawa tayari imepatikana
Mnampuuza tu,hakuna anae jali hizo shit zake zaidi tunamshangaa tu mwenzetu yupo bitter au aliokotwa chooni maana si kawaida[emoji28][emoji28][emoji28]
Hawa wazee katika kitu wanashindwa kusema ni Elimu sio funguo za maisha lakini wanashindwa sema kabisa japo wanajuta baada ya kuwasomesha watoto wao mda mrefu na kukosa ajira..Habari wakuu. Kawaida ya binadamu umri ukienda huanza kutathmini maisha yao na kuanza kujutia baadhi ya mambo na kusema ninge.
Ni mambo gani ambayo wazee wa kitanzania hujutia sana na wangependa vijana wawe tofauti?
Si wazee tu, hata wewe kama kunajambo unafikiri ulitakiwa kulifanya tofauti unaweza share ili wanaokufuata wafaidike?
Kuna la kutafakarisha mno katika MESEJI hii ya dhahabu....Mmmmmmhmn huu ushauri umetoa wapi kwanza tuanzie hapo?!
Hivi ndoa kumbe zinawazuia wanawake kutafuta maisha?!
Halafu swali jingine unatafuta maisha then uoe au uolewe?!
Sasa naelewa kwann mabinti wengi sasa hivi hali zao sio nzuri kwenye mahusiano.
Kupiga punyeto...achaaaHabari wakuu. Kawaida ya binadamu umri ukienda huanza kutathmini maisha yao na kuanza kujutia baadhi ya mambo na kusema ninge.
Ni mambo gani ambayo wazee wa kitanzania hujutia sana na wangependa vijana wawe tofauti?
Si wazee tu, hata wewe kama kunajambo unafikiri ulitakiwa kulifanya tofauti unaweza share ili wanaokufuata wafaidike?
Ona sasa....!Ana makasiriko huyo hatarii
Kuna siku alinishambulia kwenye post yangu matumizi ya K yangu ila alini attack kama vile ana ubia kwenye K yangu nikabaki kushangaa
Toka hio siku nikipita nikiona comment zake ni za hivyo hivyo tu nikajua kumbe sikukosea yeye ndio ana shida
Haujui unachozungumza otherwise hii haikuwa comment sahihi.Kuna uzi wa wadada wanaozalishwa bila kuolewa wee alikua bitter utadhan dada zake wako hvyo . Yaan akiona unatoa wazo lako anakuita single mom umezalishwa tu umetekelezwa..utadhan kuwa singo mom ni curse![emoji28][emoji28]!
Uzuri mtu ukishamjua ana shida Dawa tayari imepatikana
Mnampuuza tu,hakuna anae jali hizo shit zake zaidi tunamshangaa tu mwenzetu yupo bitter au aliokotwa chooni maana si kawaida[emoji28][emoji28][emoji28]
What healing are u talking about?!Just interact with him, he may be healed in the process
I didn't ask......Never jombaa
Mmmmmmhmn seriously, wauniuliza hivyo?!Una miaka mingapi kwanza? Umeoa? Basi tembea uone ..au unajitoa ufahamu
🤣🤣[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimepitia komenti nyingi nimekuja kugundua kitu,
Wakati wanaume wanatafuta kazi pesa ili wahudumie familia zao vizuri wanawake wanatafuta kazi na pesa ili wawwaendeshe wanaume. Utofauti mkubwa mno[emoji23][emoji23]
Then you don't know me. So why judging?!Knowing you in person has nothing to do with me getting access
Kudharaulika hakuji kwasababu ya kukosa pesa.Ni kweli kuhusu nn? Mm sipend mwanaume anayemdharau mwanamkr kwa aina yyt ile..! Damu yangu huwa inasisimka ..!maana kama hela wote tunajua kutafta sasa iweje unichukulia poapoa tu..hahahaaa waleleee