Ni mambo gani uliwahi kuona kanisani kwako ya kakuacha mdomo wazi? Mimi kuzikwa mifupa ya mwanzilishi wa kanisa hilo mimbarini

Acha kudannganya watu.

Kwa hiyo kanisa la Moyo Mtakatifu wa Yesu, au Parokia ya Roho Mtakatifu, kuna mifupa ya nani
 
Uislamu nao ni kichekesho tu yaani mnaambizana kwamba mtapewa mabikra 72.haya watu 10 ×72=720.sasa si itakuwa fujo tu alafu mbigu gan watu wanafanya ngono?
Mungu ndiye anayeamua mapenzi ni kwa nyakati gani ni ngono na ni kwa nyakati gani ni ibada. Ukiwa hujaoa ni zina na ngono, ukioa inaitwa ibada ya tendo la ndoa. Kule mbinguni ni zaidi ya burudani ulizopata duniani, ikiwa mankind inakubali kuwa kufanya mapenzi ni starehe tamu basi kule ni multiplication yake. Kule mbinguni kuburudika na mademu itakuwa ni kama ibada tu kwa vile haitakuw kinyume na sheria. Af nenda shule ndugu
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Sent from my SM-A235F using JamiiForums mobile app
 
Soma vizuri verse ya2 kutoka mwisho nimesema


Hakika kwa haya yameniacha mdomo wazi na sio mimi tu nimejaribu kuuliza viongozi kadhaa wa dhehebu langu sijapewa jibu la kueleweka maana mimi niliona kama ni kinyume na ukristo.
Ati uliona ni kinyume na ukristo. Kwahio ulidhani unamfahamu yesu na dini yenu kuliko mapadre na ma askofu? Ingekuw kinyume kungekuw na haja ya kufanya hayo yote hadharani? Someni dini zenu vizuri..
 
Wakina FaizaFoxy wao watapewa nini kuburudika?
 
Na zile sanamu zilixzowekwa ktk hekalu la jerusalem ktk mimbari yake yaani za malaika wenye mbawa zinazotoka kila upande na kkufikia upande mwingine. Zile ni nini? Soma maelekezo aliyopewa suleiman namna ya kujenga hekalu. Utaona upaganj mwingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…