Kunywa Maji Upunguze Hasira Binti!Nincompoop.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kunywa Maji Upunguze Hasira Binti!Nincompoop.
Kujua ni nini?Kwa nini uhitaji kuamini badala ya kujua?
Acha kudannganya watu.Mkuu hayo ni mambo ya kabisa katoliki, ukiona kabisa Linaitwa parokia ya mtakatifu "yuda thadei" ujue Kuna mifupa ya huyo mtakatifu altareni, huo ni upagani kama upagani mwingine eg kuombea wafu,kuabudu sanamu nk..
Kuna vingi vinafanyika kinyume na biblia,
Mungu ndiye anayeamua mapenzi ni kwa nyakati gani ni ngono na ni kwa nyakati gani ni ibada. Ukiwa hujaoa ni zina na ngono, ukioa inaitwa ibada ya tendo la ndoa. Kule mbinguni ni zaidi ya burudani ulizopata duniani, ikiwa mankind inakubali kuwa kufanya mapenzi ni starehe tamu basi kule ni multiplication yake. Kule mbinguni kuburudika na mademu itakuwa ni kama ibada tu kwa vile haitakuw kinyume na sheria. Af nenda shule nduguUislamu nao ni kichekesho tu yaani mnaambizana kwamba mtapewa mabikra 72.haya watu 10 ×72=720.sasa si itakuwa fujo tu alafu mbigu gan watu wanafanya ngono?
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Nipo kwenye tamasha la hawa manabii mkoa fulani.
Kuna jamaa amekalia wheelchair huku amejifunika na blanketi.
Nabii akaanza kukemea huku akimsogelea jamaa.
"NINASEMA TEMBEA"
"SHETANI UMESHINDWA, INUKA UTEMBEE"
Yule jamaa hanyanyuki kwenye wheelchair anamuangalia Nabii.
Nabii akasogea kwa nguvu akanyanyua blanketi kwa nguvu huku anakemea kwa mwendo uleule.
Turns out jamaa ni amekatika miguu.
Nabii kashikilia blanketi hajui alifanye nini
Ati uliona ni kinyume na ukristo. Kwahio ulidhani unamfahamu yesu na dini yenu kuliko mapadre na ma askofu? Ingekuw kinyume kungekuw na haja ya kufanya hayo yote hadharani? Someni dini zenu vizuri..Soma vizuri verse ya2 kutoka mwisho nimesema
Hakika kwa haya yameniacha mdomo wazi na sio mimi tu nimejaribu kuuliza viongozi kadhaa wa dhehebu langu sijapewa jibu la kueleweka maana mimi niliona kama ni kinyume na ukristo.
Hakuna Mkatoliki anayeshambulia kanisa lake. Endelea na makanisa yenu ya ufufuo na uzima huko mnako uziwa maji na mavumbiHayo uliyosema sijayauliza hapa.Au ni wapi nimeyaongelea?
Mimi RC siku zote na huna hati milii ya kanisa hili kuwaambiwa watu wakuachie kanisa
Wakina FaizaFoxy wao watapewa nini kuburudika?Mungu ndiye anayeamua mapenzi ni kwa nyakati gani ni ngono na ni kwa nyakati gani ni ibada. Ukiwa hujaoa ni zina na ngono, ukioa inaitwa ibada ya tendo la ndoa. Kule mbinguni ni zaidi ya burudani ulizopata duniani, ikiwa mankind inakubali kuwa kufanya mapenzi ni starehe tamu basi kule ni multiplication yake. Kule mbinguni kuburudika na mademu itakuwa ni kama ibada tu kwa vile haitakuw kinyume na sheria. Af nenda shule ndugu
Watapewa sisi. Kama ambavyo hawa alipewa Adam.Wakina FaizaFoxy wao watapewa nini kuburudika?
Ningelitaja hilo kanisa ila basi tu, ni maeneo ya LUSHANGA - GEITA.
Mhola mayoMwadela mayo🥶😁
Shenji sana 😅Nale geita bhabha nale shilabelaMhola mayo
Sawa nkoi, nale Mbhabhani aha sentaShenji sana 😅Nale geita bhabha nale shilabela
Na zile sanamu zilixzowekwa ktk hekalu la jerusalem ktk mimbari yake yaani za malaika wenye mbawa zinazotoka kila upande na kkufikia upande mwingine. Zile ni nini? Soma maelekezo aliyopewa suleiman namna ya kujenga hekalu. Utaona upaganj mwingi.Mkuu hayo ni mambo ya kabisa katoliki, ukiona kabisa Linaitwa parokia ya mtakatifu "yuda thadei" ujue Kuna mifupa ya huyo mtakatifu altareni, huo ni upagani kama upagani mwingine eg kuombea wafu,kuabudu sanamu nk..
Kuna vingi vinafanyika kinyume na biblia,
Another neck supporting an empty coconut 🥥 head.Kunywa Maji Upunguze Hasira Binti!
SawaHakuna Mkatoliki anayeshambulia kanisa lake. Endelea na makanisa yenu ya ufufuo na uzima huko mnako uziwa maji na mavumbi
Sasa Jitahidi uhudhurie pia Ibada ya kutabaruku kanisa(Hekalu) ili usiwe unashangaa-shangaa kila tukio la kikanisa.Ukweli sikuwahi kuhudhuria uzinduzi wa kanisa nilikuwa siendi sasa hili ilinikuta hukohuko nikaona si mbaya.Acha nitulie