Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 6,944
- 14,351
- Thread starter
-
- #81
Ni mkatoliki wa kuzaliwa,ubatizo,kumnyo,kipaimara na ndoa. Kwenye kitambulisho changu Bado sehemu ya kifo tu ndo ipo wazi Kwa sasa.NB kwa maelezo ya mleta mada ninathubutu kusema sio mkatoliki maana naona hajui kila kitu.
.Duhh! Kumbe kuna mengi.
Hukuona Kingunge Ngombare Mwiru walivyomuingiza kwenye ukristu ghafla bin vuu wakati anakaribia kufa?! Angekuwa mtu wa kawaida ambaye hana mkwanja na umaarufu nani angehangaika nae ?!Mi Nashangaa tuu eti kama hauna Jumuiya hawakuziki kikanisa. ila kama ni tajiri wanakuzika.
Bado hizo chembe za masalia ya mtu aliyekufa ni ushirikina.!Umezunguka sana lakini hapo unamaanisha RC.
Kwanza hakuna kitu kinachoitwa kusimika au kuzindua kanisa.Na masalia yanayowekwa sio ya muanzilishi wa kanisa maana muasisi wa kanisa ni Yesu mwenyewe alipomuambia Petro ya kwamba atalijenga kanisa lake juu yake.
Tukio unalosema ni kutabaruku kanisa.Maana yake ni kuliweka wakfu jengo hilo na kulitenga mbali na shughuli nyingine za kidunia/kijamii ili litumike tu kwa ajili ya sadaka ya ibada takatifu ya misa.
Ubani unawekwa katika chungu na kufukizwa juu ya altare (meza ile ya kutolea dhabihu)ishara ishara ya kupatakatifuza na kumsihi Mungu ya kwamba sadaka zitakazotolewa hapo zipae kwake juu na harufu nzuri ya kumpendeza kama moshi huo wa ubani.Kadhalika husuguliwa kwa mafuta matakatifu ishara ya kupatakasa.
Unayosema mifupa ililetwa sina hakika kama uliiona mifupa kwasababu huwa sio mifupa haswa bali chembe ndogo sana ya masalia ya huyo mtakatifu aliyewekwa kuwa msimamizi wa kanisa mahalia.Kwa imani yetu sisi wakatoliki watakatifu wanao uwezo wa kutuombea kwa Mungu ndio maana tuna litania ya watakatifu.Hivyo kuweka alama yake katika kanisa husika ni ishara ya kukabidhi usimamizi wa kanisa husika kwake.
NB kwa maelezo ya mleta mada ninathubutu kusema sio mkatoliki maana naona hajui kila kitu.
Labda ni kucha za huyo maiti wanayemuita mtakatifu!😆😆😆😆"sina hakika kama uliiona mifupa kwasababu huwa sio mifupa haswa bali chembe ndogo sana ya masalia ya huyo mtakatifu"
Hayo masalia ni nini?
Na kama ungekuwa muislamu waislamu tungekuwa na hasara kuwa na mtu mwenye akili mbovu kama wewe!kutoka misr kwenda kanaan walibeba mifupa ya Yusufu.Je Yusufu alozikwa wapi? Uvumba ni kitu gani? Acha wazike tu maana ya biblia nayo ni mengi ukiachana na ukristo ambao wengi wanadhani katiba yake ni biblia .Katika imani mengine tujiongeze tu tunaenda .kitimoto ni haramu kwann wana wa Israel waliwafuga?kwanini nguruwe mpaka leo wapo? Kuna miujiza Yesu anafanya mingine anakupaka tope alilofanya kwa mate yake na mingine anasema tu inuka au ona .kwann yote asiseme ona ,tembea .kuwa na imani mdau hata hirizi biblia haikatai .Usinzi tu inategemea mbona Daud alizini nq hakupigwq mawe? Kuna wakati Musa aliua.Yoshua aliua na wanafunzi wa Yesu waliua pia au wewe usomagi biblia ? Unaambiwa hata shetan atauwawa kwa pumzi ya Yesu yaani hata Yesu mwenyewe anaua haah sembuse mimi ?na huko mbinguni kuna vita vinapiganwa yaani hata mbinguni kuna mmama amezaa just image hiyo mimba kama sio ya usinzi n nani aliifungisha hiyo ndoa maanq imeandkwa mbingun hawaoi wala kuolewa.Tafakar ndg .notes mimi sio muislam wala chawa.
Tuachie ushirikina wetu wewe nenda na utakatifu wako.Bado hizo chembe za masalia ya mtu aliyekufa ni ushirikina.!
Halafu wewe unamuita binadamu mwenzio mtakatifu kwa kigezo gani?!
Mungu pekee ndiye anayejua nani ni mtakatifu!.
Acha uongo wako ! Mzee Kingunge Ngombare Mwiru alikuwa akishiriki jumuia gani au hakuzikwa kikatoliki yule ?!Mkùu sio kweli RC hawaangalii pesa wanaangalia ushiriki wako katika jumuia na kanisani Refer Mzee mrema yule wa Impala na Ngurdoto Padri alikataa wake wakapanda mpaka kwa Askofu akawaambia kaanzieni ngazi ya jumuia mpaka kwa paroko mje na majibu ikabidi watafute walokole uchwara wakawapa mpunga wakaja kuendesha ibadan ya mazishi ill RC waligoma
Kutuambia kwamba huna dini huo ni uongo bana ...........walikupaje jina ??Mimi sina dini ya aina yeyote ile.
Sasa punguza mihemko yako kudhani kila mtu ana udini.
Ukristo na Uislamu zote ni UTAPELI.
Nimeogopa kabisa!! Yaani 'chembe ndogo kabisa ya masalia ya huyo mtakatifu....' like serious!!?Umezunguka sana lakini hapo unamaanisha RC.
Kwanza hakuna kitu kinachoitwa kusimika au kuzindua kanisa.Na masalia yanayowekwa sio ya muanzilishi wa kanisa maana muasisi wa kanisa ni Yesu mwenyewe alipomuambia Petro ya kwamba atalijenga kanisa lake juu yake.
Tukio unalosema ni kutabaruku kanisa.Maana yake ni kuliweka wakfu jengo hilo na kulitenga mbali na shughuli nyingine za kidunia/kijamii ili litumike tu kwa ajili ya sadaka ya ibada takatifu ya misa.
Ubani unawekwa katika chungu na kufukizwa juu ya altare (meza ile ya kutolea dhabihu)ishara ishara ya kupatakatifuza na kumsihi Mungu ya kwamba sadaka zitakazotolewa hapo zipae kwake juu na harufu nzuri ya kumpendeza kama moshi huo wa ubani.Kadhalika husuguliwa kwa mafuta matakatifu ishara ya kupatakasa.
Unayosema mifupa ililetwa sina hakika kama uliiona mifupa kwasababu huwa sio mifupa haswa bali chembe ndogo sana ya masalia ya huyo mtakatifu aliyewekwa kuwa msimamizi wa kanisa mahalia.Kwa imani yetu sisi wakatoliki watakatifu wanao uwezo wa kutuombea kwa Mungu ndio maana tuna litania ya watakatifu.Hivyo kuweka alama yake katika kanisa husika ni ishara ya kukabidhi usimamizi wa kanisa husika kwake.
NB kwa maelezo ya mleta mada ninathubutu kusema sio mkatoliki maana naona hajui kila kitu.
Relics.Hakuna lugha ya mifupa bali masalia.
Labda kiingereza kina maana nzuri zaidi "remains"
Kupewa jina hakutegemei dini.Kutuambia kwamba huna dini huo ni uongo bana ...........walikupaje jina ??