Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 6,944
- 14,351
- Thread starter
- #81
Ni mkatoliki wa kuzaliwa,ubatizo,kumnyo,kipaimara na ndoa. Kwenye kitambulisho changu Bado sehemu ya kifo tu ndo ipo wazi Kwa sasa.NB kwa maelezo ya mleta mada ninathubutu kusema sio mkatoliki maana naona hajui kila kitu.
Sijui Ili niwe mkatoliki inahitajika niwe na Nini zaidi. Awali nimesema wazi sijawahi ona tangiapo hii niliyoona
Sijawahi hudhuruli kwenye kutabaruku kanisa hii ndio mwanzo Huwa ikifanyika mara kadhaa Huwa sihudhurii.
Unaposema masalia sisi katekista aliyekuwa kama Mc ndo alikuwa anasema mifupa. Sasa tukuamini wewe au yeye au sisi tuliokuwepo?