Ni mambo gani uliwahi kuona kanisani kwako ya kakuacha mdomo wazi? Mimi kuzikwa mifupa ya mwanzilishi wa kanisa hilo mimbarini

Ni kundi kubwa la waumini kufukuzwa wakidaiwa kuwa ni wachawi na huwa wanaenda kuzimu. Walifukuzwa huku wakirekodiwa akiwepo mama mmoja tuliyeambiwa ni mchawi tuangalie asije akageuka fisi mchana kweupe. By the way sikuamini kama ni kweli, niliona ni visa tu kufukuzwa washirika hao kwa kuzingiziwa ni wachawi
 
Ugomvi wa kunyang`anywa tawi kibabe. Juzi kati kuna mchungaji mmoja alinyang'anywa tawi analoliongoza. Kuna viongozi toka ngazi ya juu walikuja kanisani na kumtoa mchungaji mbele kisha wakavuruga ibada na kulifunga kanisa wakidai mchungaji kaasi kundi lao na kujiunga kundi jingine hasimu wanalogombania madaraka. Kukawa na vurugu mpaka polisi wakaitwa kuja kutuliza ghasia. Cha kushangaza inakuaje wachungaji kwa wachungaji wanagombania madaraka bila aibu kwa washirika wao kiasi cha kuonekana ni wapagani wasio na Mungu?
 
Kuna mshirika mmoja alifichua njama za kuwepo mapinduzi ya kumpindua mchungaji uongozini kisha kuliteka tawi lake na kulipeleka parishi nyingine inayoongozwa na kiongozi mbabe anayetaka kuunda jimbo lake ndani ya jimbo linalotambuliwa kitaifa. Huyo mtuhumiwa wa njama za mapinduzi ilibidi aitwe kikaoni kuulizwa kwa nini anafanya uasi kutaka kumpindua mchungaji wa tawi na kuliteka kisha kulipeleka upande hasimu akawa mkali na kutaka kupigana ndani ya kanisa kibabe huku akituona wajumbe wa kikao hatuna uwezo wa kumkabili. Nilishangaa kuzuka mzozo mkali ndani ya kanisa wakati si mahali pa kufanyika hali hiyo bali ni sehemu ya kuomba amani na upendo kwa watu wote. Tamaa ya madaraka ndio chanzo cha mzozo huo. Viongozi wa juu kuhasimiana na kufarakana kisha kuligawa kundi kila mmoja kutaka kumiliki parishi kadhaa aunde jimbo lake na ikiwezekana ajitoe kwenye kanisa na asajili kanisa lake jipya ndio chanzo cha migawanyiko, tamaa ya madaraka
 
Halafu utasikia wanasema waislamu ni washirikina.

Kwa asili muafrika yake ni tunguri tu, hizi imani nyingine ni maigizo.
Hakuna ushirikina hapo ni kawaida kabisa. Mbona wakatoliki tunazika maaskofu ndani ya kanisa
 
Hatari sana hii
 
Tuliambiwa tutuoe michango kwa ajiri ya matibabu ya mchungaji wakati waumini wagonjwa tunaambiwa tuwaombee. Sikirudi tena kanisani tàngu siku iyo.
 
Usikute na kuombewa alipelekwa kwa hao hao wachungaji
 
Hehehehehehe
 
Sitetei kwasababu hakuna anayetushtaki wala kutudai.nimetoa ufafanuzi wa alichouliza mtoa mada.
Wewe abudu huyo Mungu wako wa kweli hakuna anayekuzuia,tuachie uganga wetu maana hatukushawishi uje kwetu sasa unakereka nn?
 
Walokole wengi wapo kimaslahi zadi tena waziwazi
 
Tuliambiwa tutuoe michango kwa ajiri ya matibabu ya mchungaji wakati waumini wagonjwa tunaambiwa tuwaombee. Sikirudi tena kanisani tàngu siku iyo.
Hii iko kila sehemu ila kwa romani hadi mpende wenyewe padre akiumwa ni ndege moja kwa moja hadi ughaibuni hasubri michago.Ila kwa walokole hii ipo wazi tu
 
Tuachie ushirikina wetu wewe nenda na utakatifu wako.
Ulishawahi kuona RC imefunga maspika mahali ikiwaita watu wajiunge RC?
Tumejengwa juu ya mwamba Petro mwenyewe hatuyumbi
Kwani Huyu Bwana Petro Si Ndo Shetani Kwa Mujibu Wa Yesu Wa Biblia?"Petro Nenda Nyuma Yangu Shetani Maana Huyawazi Yalio Ya Mungu Bari Ya Wanadam"

Baadae Yesu Huyo huyo Akasema "Huyu Ndiye Petro Na Juu Ya Mwamba Huu Nitalijenga Kanisa Langu" Kwa Mujibu Wa Vifungu Hivyo Kanisa Ni Jengo La Shetani Kwa Hiyo Mleta Mada Usishangae Mambo Uliyoyaona Hiyo Ndo Asili Ya Kanisa.
 
Duuh aiseee tumefika huku
 
Kupewa jina hakutegemei dini.

Una elewa hilo?
Hakuna Binadam Anayekosa Imani Ya Kuamini Ila Ujinga Wako Ndo Umekusahaulisha Kwamba Hata Hiyo Uliyo Nayo Ni Dini Pia Kwani Fomula Ya Maumbile Ni Uwili.

Mungu V Shetani
Kushukuru V Kukufuru
Kukubali V Kukataa
Kucheka V Kulia
Kuzaliwa V Kufa
Mwanaume V Mwanamke

Sasa Nyie Mnaojifanya Mnakataa Habari Za Mungu Mpo Kundi La Mashoga.
Hawajui Wajitambulishe Wao Ni Wanaume Au Wanawake Maana Kanuni Haikubaliani Na Usenge Wao
Ndio Sawa Na Nyie Hamjui Asili Yenu Sawa Sawa Hapo Ulipo Uamue Kusema Hakuna Kitu Kinaitwa Wazazi Kwa Vile Siku Wanatiana Mimba Haukuwepo Na Wala Hujaadithiwa Ilikuwaje,Style Gani Ilitumika Hata Mimi Nikijizima Data Naweza Kuanzisha Complain Kwa Wazazi Wangu.
 
Sitetei kwasababu hakuna anayetushtaki wala kutudai.nimetoa ufafanuzi wa alichouliza mtoa mada.
Wewe abudu huyo Mungu wako wa kweli hakuna anayekuzuia,tuachie uganga wetu maana hatukushawishi uje kwetu sasa unakereka nn?
Naachaje kukereka ninapoona mwenzangu akiabudu mbele ya masalia, au chembe ya mifupa ya maiti?

Ninyamaze? Niseme kila mtu na imani yake? Ndio upendo huo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…