LOTH HEMA
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 18,611
- 27,615
Ni kundi kubwa la waumini kufukuzwa wakidaiwa kuwa ni wachawi na huwa wanaenda kuzimu. Walifukuzwa huku wakirekodiwa akiwepo mama mmoja tuliyeambiwa ni mchawi tuangalie asije akageuka fisi mchana kweupe. By the way sikuamini kama ni kweli, niliona ni visa tu kufukuzwa washirika hao kwa kuzingiziwa ni wachawi