Kwisimla
Senior Member
- Apr 15, 2011
- 199
- 106
Umefanya zaidi ya MC! Kwa nini usiwaulize viongozi wa hilo "unalodai ni" dhehebu lako huko?".........je hii ina ulazima gani na kwanini ifanyike hadharani na mc akitangaza hadharani kwenye vipaza sauti na watu wasio sali dhehebu letu wasikie na kujua kinacho endelea?"