Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 31,009
- 60,629
Kuna watu hua wanaongelea msamaha as if ni neno tu bila matendo...yani unaomba tu kirahisi NISAMEHE na mimi najibu tu NIMEKUSAMEHE ilimradi umeomba na mimi nimejibu.
Utasikia watu wakisema ohh hamna lisilosamehewa...mara samehe mara saba sabini...hivi ni rahisi kiasi hicho???
Mtu anacheat over and over again...nae anastahili msamaha??
Mtu amekuulia mwanao kwa makusudi...anaanzia wapi kukuambia samahani na wewe kumsamehe??
Mtu aliyekubaka kwa kukusudia....unamwangalia vipi mpaka umpe huo msamaha!
Kuna mambo mengi tu ambayo binafsi naona na ninaamini ni ngumu sana kusamehe kwakweli!Huwezi kuwambia mtu ohh samahani kwa kukubaka...naomba unisamehe na mimi nikasema okeyy yameisha au nikakataa ukaanza kunipa mistari ya biblia!!
JAMANI HATUISHI KWENYE ULIMWENGU WA KIROHO!!!...NA KAMA INGEKUA HIVYO KUSINGEKUA NA DHAMBI !!!
Embu tuwe wakweli....unaweza kusamehe chochote kile??