Mi nachokiona huyo mwanamke hamko katika same parameters za kimahaba. Wewe uko 100% yeye yuko 10% na nina hakika yuko hivyo pengine sababu hujafikia viwango vyake ama huelekei kuwa yule mwanaume wa ndoto zake.Habari za mchana wakuu wa MMU. Natumai mpo salama na mnaendelea vyema kabisa na majukumu ya hapa na pale.
Lengo kubwa la uzi huu ni kutaka kujua ni ishara gani au ni vitu gani vinadhihirisha kwamba mwanamke yupo tayari kuingia katika mahusiano ya kimapenzi/ndoa. Nimeuliza hivyo kwa sababu kila mwanamke ana lugha yake ya upendo (love languages) kwa amapendae, yaani namna ya kueleza upendo kwa mtu wake anayemkubali.
Bila kupoteza muda ni kwamba nimetokea kumpenda dada mmoja kwa lengo la kuwa mke wangu. Nimekuwa nikionesha upendo mkubwa sana kwake na mambo mengine mengi sana ingawa kiukweli nashindwa kumuelewa kwa sababu nimekuwa nikijitahidi kuonesha upendo wangu kwake kwa kumjali. Katika kumjali sina utani kabisa na nimemueka kama my first priority ingawa amekuwa akionesha ishara amabazo zinanipa wakati mgumu sana mfano tukiwa wote pamoja anakuwa ni mtu asiyejali kabisa lakini tukiwa mbali yaani hatuko pamoja huwa anaonesha positive affirmation katika kuchati kwa WhatsApp.
Kadhalika, kwa upande wa mawasiliano ni mpaka nimuanze mimi kama sijamtafuta hawezi kunitafuta kamwe na anapenda kutuma meseji kuliko kuongea kwa simu. Ingawa nikimuanza huwa anaonesha muitiko ambao ni chanya wakati wa kuchati mpaka nafurahi.
Aidha, siku katika mazungumzo yetu niliwahi kumuuliza kwamba inaonesha unakuwa na shughuli nyingi mpaka unanisahau. Alichonijibu ni kwamba yes nakuwa busy sana, labda niwe nakaa nyumbani ili nisiwe busy. Nikamwambia just relax, I was joking. Tukaishia hapo.
Sasa wadau wa MMU kwa muktadha huo hapo juu, je niendelee kupambana au mambo anayoonesha ni ishara tosha kwamba sina changu ili niweze kutafuta mtu mwingine?
karibuni kwa michango yenu wakuu.
Ahsanteni sana.
Hii inaitwa sugar coating😂😂😂 yani unajua kabisa mwamba hatoboi ila unampa bichwa.Umeandika kinyonge Sana.
Enwei endelea kumjali huenda ipo siku ataonyesha unayoyatarajia.😊
Acha kujipendekeza babu, songa mbele na maisha yako 😂...Inauma ila itabidi uzoee!!!Mkuu hayo yote huwa nafanya aisee na huwa sisubiri aombe lakini hasomeki. Anakaza sana.
😂😂😂😂 Acha iwe ivyo..ila mdada anacheza Sana..Kuna watu wanatamani Upendo wa namna hiyo hajui tu.Hii inaitwa sugar coating😂😂😂 yani unajua kabisa mwamba hatoboi ila unampa bichwa.
Sahivi hana habari, akishatoswa na kibwana chake atakumbuka msela akiwa 30 hapo.😂😂😂😂 Acha iwe ivyo..ila mdada anacheza Sana..Kuna watu wanatamani Upendo wa namna hiyo hajui tu.
HahahahahhahahahahhahhahahaMtumie muamala kwanza...afu uje kutupa mrejesho.
😂😂. Embu acha kutusuta wa 30 hukoooSahivi hana habari, akishatoswa na kibwana chake atakumbuka msela akiwa 30 hapo.
We si ushapendwa una wasiwasi gani 😂😂😂. Embu acha kutusuta wa 30 hukooo
Umeandika ukweli mtupu.Hio hapo ni one side relationship kama yeye hawezi kukutumia sms au kukupigia simu mpaka wewe umuanze jua kua hauna chako mkuu hizo respond zake zote ukishamtafuta anakuigizia,, haijalishi mtu yupo bize kiasi gani kama anakupenda lazima atatenga muda kukutafuta, unataka kusema huo ubize wake hawasiliani na ndugu, jamaa zake?. Siku zote mahusiano yanajengwa kwa jitihada zenu wote wawili wala haiitaji kutumia nguvu nyingi.. Ukiona unatimia nguvu nyingi hayo sio mapenzi jua kua upo sehemu isiyo yako
Kwa ninavyoona mimi huyo mwanamke ana bwana yake ila kakuweka wewe back up plan yake incase huyo jamaa yake atamuacha, kumbuka wanawake wana biological factor sisi tuna financial factor,, hapo yupo anakuvizia akiachwa huko kabla umri wake ujaenda aje apumzikie kwako pia anasikilizia financial factor yako,, siku utusue ndio aje mazima.View attachment 1647502
🙄...kupendwa??!!! Na Nani??!!😂😂😂😂We si ushapendwa una wasiwasi gani 😂
Si namimi dia, we usiogope ndoa uhakika 😍🙄...kupendwa??!!! Na Nani??!!😂😂😂😂
😂😂😂😂 Nimecheka kifala....embuuuSi namimi dia, we usiogope ndoa uhakika 😍
Kwahio hujapenda kupendwa au ndio pozi kama manz wa mtoa mada 😁😂😂😂😂 Nimecheka kifala....embuuu
😂😂😂😂😂😂Nani asiyependwa kupendwa hasa Upendo kama wa mleta mada wa festii pirioritiiii😜Kwahio hujapenda kupendwa au ndio pozi kama manz wa mtoa mada 😁