Ni mambo gani yanadhihirisha utayari wa mwanamke kuingia katika mahusiano ya ndoa/ mapenzi?

Mi nachokiona huyo mwanamke hamko katika same parameters za kimahaba. Wewe uko 100% yeye yuko 10% na nina hakika yuko hivyo pengine sababu hujafikia viwango vyake ama huelekei kuwa yule mwanaume wa ndoto zake.

Mwanamke akiwaka na wewe hawezi maliza siku hajakutafuta mzee. Anakuwa hana ubavu huo especially kama umeshatangaza nia na kukamata jimbo kupitia tiketi ya Chichiem.

Cha kukushauri we songa mbele kama injili. Hakupendi huyo mwanamke,,,ukibishana na nguli wa hio michezo shaulilako.
 
Jaribu kukaa kimya na wewe iwaje kila siku umtafute yeye?huyo haoni umuhimu wako kwake thats why hakutafuti kwenye simu hadi uanze wewe!!wanawake huwa hawapendi wanaume wanaojikomba komba!!wamezoea kashkash sana!!mkuu fanya kukaa kimya uone kama atakutafuta!!It's your to move on acha kulilia ndoa na mtu asiye na upendo wa dhati kwako.
 
Umeandika kinyonge Sana.
Enwei endelea kumjali huenda ipo siku ataonyesha unayoyatarajia.😊
Hii inaitwa sugar coatingπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ yani unajua kabisa mwamba hatoboi ila unampa bichwa.
 
Mkuu hayo yote huwa nafanya aisee na huwa sisubiri aombe lakini hasomeki. Anakaza sana.
Acha kujipendekeza babu, songa mbele na maisha yako πŸ˜‚...Inauma ila itabidi uzoee!!!

Yalishanifika enzi hizo mtt mzuri wa kuitwa Baby analiwa hadi na vinyozi kitaa ila mwamba nilikua namuelewa kichizi ila kila nikijisogeza akawa anantosea...niliishia kula kwa macho tu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mkuu Extrovert mbona uanacheka? Au nimesahau sifa za KE kuwa tayari kwa ndoa? Kama nimesahau ongeza Mkuu LOL!
 
Hio hapo ni one side relationship kama yeye hawezi kukutumia sms au kukupigia simu mpaka wewe umuanze jua kua hauna chako mkuu hizo respond zake zote ukishamtafuta anakuigizia,, haijalishi mtu yupo bize kiasi gani kama anakupenda lazima atatenga muda kukutafuta, unataka kusema huo ubize wake hawasiliani na ndugu, jamaa zake?. Siku zote mahusiano yanajengwa kwa jitihada zenu wote wawili wala haiitaji kutumia nguvu nyingi.. Ukiona unatimia nguvu nyingi hayo sio mapenzi jua kua upo sehemu isiyo yako

Kwa ninavyoona mimi huyo mwanamke ana bwana yake ila kakuweka wewe back up plan yake incase huyo jamaa yake atamuacha, kumbuka wanawake wana biological factor sisi tuna financial factor,, hapo yupo anakuvizia akiachwa huko kabla umri wake ujaenda aje apumzikie kwako pia anasikilizia financial factor yako,, siku utusue ndio aje mazima.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Acha iwe ivyo..ila mdada anacheza Sana..Kuna watu wanatamani Upendo wa namna hiyo hajui tu.
Sahivi hana habari, akishatoswa na kibwana chake atakumbuka msela akiwa 30 hapo.
 
Umeandika ukweli mtupu.
 
Oa mwanamke anaekupenda sana kuliko wewe unavyompenda hutajutia[emoji125][emoji125][emoji125]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…