The Happiness
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 6,990
- 45,415
Legend kama LegendππMi nachokiona huyo mwanamke hamko katika same parameters za kimahaba. Wewe uko 100% yeye yuko 10% na nina hakika yuko hivyo pengine sababu hujafikia viwango vyake ama huelekei kuwa yule mwanaume wa ndoto zake.
Mwanamke akiwaka na wewe hawezi maliza siku hajakutafuta mzee. Anakuwa hana ubavu huo especially kama umeshatangaza nia na kukamata jimbo kupitia tiketi ya Chichiem.
Cha kukushauri we songa mbele kama injili. Hakupendi huyo mwanamke,,,ukibishana na nguli wa hio michezo shaulilako.
Yani haya maisha mbali na kua na pesa ila mtu akisha master issue ya ku balance shobo I'm sure ata enjoy sana.Umeandika ukweli mtupu.
Sasa huo ndio upendo nilio nao kwako, yani we ni zaidi ya mswaki wangu πππ kila asubuhi nitakubusuππππππNani asiyependwa kupendwa hasa Upendo kama wa mleta mada wa festii pirioritiiiiπ
Hatari sanaπLegend kama Legendππ
πππππKubababekiii...mswakiii!!!π Sitakiii..ungesema hata kojo la asubuhiππSasa huo ndio upendo nilio nao kwako, yani we ni zaidi ya mswaki wangu πππ kila asubuhi nitakubusu
You look desperate mzazi that makes you look inferior, hapo ukute unacompete na bad boys lazima uonekane takataka tuMkuu sijakuelewa . Fafanua ndugu yangu.
πππ Hahahah kumbe wapenda lile kojo mama πππ...Be my guestπππππKubababekiii...mswakiii!!!π Sitakiii..ungesema hata kojo la asubuhiππ
ππππ Kojo la chururuuuu...siyo lile la 5am..eehhπππ Hahahah kumbe wapenda lile kojo mama πππ...Be my guest
Uzuri yanafatanaga, so utapata kitu roho inapenda na bonusπππππππ Kojo la chururuuuu...siyo lile la 5am..eehh
πππππ ....chizi wehUzuri yanafatanaga, so utapata kitu roho inapenda na bonusπππ
Ni nature hiyo,nice guys always hurt!Wanawake wako ivii " the worse you treat them the more they like you" wanawake wanapendaga mtu ambaye Ni don't care Yani, cio unakuw na demu unamuonesha kwamba unajaliii utaumiaa.
Ni moto huo ukimbie mapema,Mkuu hayo yote huwa nafanya aisee na huwa sisubiri aombe lakini hasomeki. Anakaza sana.
Nina afikiana na wewe kabisa ila naomba kukuuliza, hii ni kwa wanawake wote au?Wanawake wako ivii " the worse you treat them the more they like you" wanawake wanapendaga mtu ambaye Ni don't care Yani, cio unakuw na demu unamuonesha kwamba unajaliii utaumiaa.
Sio wote ila wengi wao wako hivo kwa experience ndogo nilio nayoNina afikiana na wewe kabisa ila naomba kukuuliza, hii ni kwa wanawake wote au?
*pia naomba wanawake watupe experience yao katika hii