Ni mapungufu gani ya mkeo/mumeo umeamua kuishi nayo?

Ni mapungufu gani ya mkeo/mumeo umeamua kuishi nayo?

Au wewe ndio mshikaji wangu(............) nini. 😂🤣

Kanilalamikia saana hii kitu mkewe hakubali kosa hata iweje.
hii ni tabia universal kwa wanawake. Ni wachache sana wanaokiri makosa. Kosa umkosee yeye, litaongelewa mpaka yesu arudi. Akosee yeye sasa, kama hajakaa kimya basi atatafuta njia ageuze kosa lake liwe lako.

VIkimbana kabisa utaishia kuchekewa chekewa kinafiki ila kutamka neno nimekosa ni haramu kwao.
 
hii ni tabia universal kwa wanawake. Ni wachache sana wanaokiri makosa. Kosa umkosee yeye, litaongelewa mpaka yesu arudi. Akosee yeye sasa, kama hajakaa kimya basi atatafuta njia ageuze kosa lake liwe lako.

VIkimbana kabisa utaishia kuchekewa chekewa kinafiki ila kutamka neno nimekosa ni haramu kwao.
Japo sijaoa ila upo sahihi sanaa!
 
Bora wewe unajibiwa asante baba, wengine ni wanabisha hawajakosea na wako sahihi.. 🤣😂
Ukishinda hoja utaambiwa basi yaishe.
Nina mwanangu ana majanga, wakati mwingine unaona hata aibu kumtembelea nyumbani kwake.
Mkewe ana kaujeri kakimya kimya, ukimuona ni mpole lakini ni mjeuri kinoooma, mwanangu anapata tabu saana, kuna muda anafikiria kumuacha.

Mie wangu ni kutaka kujua kila kitu in details, ananiboa saana, chochote kile atataka in details, hata apige simu mtu akuongeleshe atakuuliza nani huyo, ndio yupi. 😂🤣 Unamuliza utamjuaje sasa, hata nikikutajia fulani huwezi kumjua 😂, sijui ni kupenda kuongea na simu au vipi
Hata umpelekee zawadi atataka kujua yoote, kama umekopa, umemnunulia na sh ngapi, unajiuliza we unataka kujua nini, yaani ni shughuli pevu 😂
Kingine anapenda mnoo kuongea na simu, bora muwe karibu hii inasaidia, akiwa mbali anapiga simu ataongea mpaka stori zaitaisha, mie mvivu kubonga na FONI naishia kuweka loudspeaker tu.
Sometimes hana stori, anakupihia anakwambia mwanao anakuita, sasa mtoto Mwenyewe ndio bado hajatimiza mwaka vizuri, kuongea haongei, unajua tu hapa nimemisiwa.

Mengine madogo madogo, yanachangiwa na maisha yangu ya awali.
Elewa neno AWALI. lizingatie vema.
Huyo mke wako anakupenda hongera mkuu wanaume wengi wameoa wanawake ambao hawapendwi na wake zao
 
Gubu...............kingine kutaka kuchukua mamlaka yangu..........yaani yeye ndo awe baba.............kitu kidogo tu atareta hadithi ndeeefu,mara ujatoka kazini bado,mbona ulikuwa upokei simu, .......ila yeye ana kilema cha kutopokea simu.......elewa neno kilema.............yaaani hapa nishaongea mpaka siongei tena.........mara simu ilikuwa silent au mtoto kaweka kinyota sababu anapenda kucheza nayo game.......ukirudi unaikuta missed call yako........mengine kama mengine inshaaaaaaaaalaah mtoto wa watu yuko poa........la mwisho yeye huwa akosei na anakwambia mwanamke ni mtu wa kuvumiliwa yaani hata akukere hakuna kumind ............
 
Kuachaniza vitu ndani,kila mkitaka kitu fulani lazima ianze operation tafuta,iwe kadi ya benki ,kadi ya mtoto ya hospitali,funguo na chochote kile mtatafuta tu.
Hahah mkuu tunasafiri boti moja!

Mimi sasa nimepanga niende kwa fundi anitengenezee draw ndogo yenye lock kwa ajili ya kuweka vitu vyangu vidogo vidogo, Jumapili iliyopita nilikuwa home sasa kuna wakati nikahitaji kutumia kalamu nikatafuta zinakokaa nikakosa kuna sehemu kabatini huwa naweka pen ya dharura kwenda kuangalia haipo wakati nalalamika mara akaenda kuileta kutoka juu ya fridge jikoni.

Na sijui alijuaje kama pana kalamu maana niliificha,socks kupata pair inayofanana ndiyo shughuli zaidi naweza kukaa mwezi sijavaa socks zinazofanana rangi utakuta rangi moja ipo kabatini moja ipo kwenye kamba nje nyengine zimechanganyika kwenye nguo za watoto,ni changamoto sana.
 
hii ni tabia universal kwa wanawake. Ni wachache sana wanaokiri makosa. Kosa umkosee yeye, litaongelewa mpaka yesu arudi. Akosee yeye sasa, kama hajakaa kimya basi atatafuta njia ageuze kosa lake liwe lako.

VIkimbana kabisa utaishia kuchekewa chekewa kinafiki ila kutamka neno nimekosa ni haramu kwao.
Akose kisha alete ubishi, namvungia tu, nauchubua zangu nafanya yangu, siwezi pigizana kelele na mtu nimemtolea mahari, yaani kakosea na bado nimlazimishe akubali kosa, binafsi nikijua nimekosa ni mwepesi kuomba msamaha, sasa ye akileta huo uhuni nmi nitaleta usela mavi wangu,
Ajichekeshe ataenda kucheka na kioo sio mimk, ni ubandidu tu sura ya kazi.
 
Sahiji

Sahihi nami natafsiri ni upendo ila tu nakereka wakati mwingine, sijuj kwanini haswa,
Kwanza kikawaida sipendi kuhojiwa saaana..
Pili mie ni mvivu mnoo wa kuzungumza na teleFONI
Nenda nae hivo hivo mdogo mdogo huku ukimueleza vitu gani upendi atakuelewa tu, wapo wanaume wengine wameoa mke anakawaida ya kutopokea, message hazijibiwi, mzigo anapewa kwa manati, haheshimiwi n.k huyo wa kwako ana changamoto za kawaida
 
Back
Top Bottom