Ni mapungufu gani ya mkeo/mumeo umeamua kuishi nayo?

Nashuk
Hayo sio mapungufu brother, ni tabia ya mtu.

Alaf anakupenda huyo.
Nashukuru kunipa moyo kaka,
Naamini ananipenda, ila kwangu ndio naona kero, akiwa mbali anaweza kuamka alfajiri anajiandaa basi urapigiwa simu, sasa wengine usimgizi mi starehe yetu kiukweli, nilikuwa natabia ya kuweka simu silent nikiwa nalala haswa mchana, ila ye akiwa mbali imebidi niache tu, maana alfajiri usipopokea simu itaonekana unapata morning glory sehemu 🤣😂
 
Brother mtu anayekupenda atatamani muda wote awe na wewe, aongee na wewe na akuguse na wewe umguse, hata ukiwa mbali faraja yake ni kuongea na wewe either kwa barua au simu, huyo mwanamke anakupenda sana, hongera mwanang, hakikisha siku zingine unampigia sio lazima yeye akupigie wewe, atafurahi sana ukimpigia.
 
Najitahidi tahidi siku hizi...
Nami namkwaza kwa hili jambo, kaishaniambia saana kiukweli.
 
[/QUOTE]
Mzee! Hata mimi wa kwangu hakubali kosa!
hii ni tabia universal kwa wanawake. Ni wachache sana wanaokiri makosa. Kosa umkosee yeye, litaongelewa mpaka yesu arudi. Akosee yeye sasa, kama hajakaa kimya basi atatafuta njia ageuze kosa lake liwe lako.

VIkimbana kabisa utaishia kuchekewa chekewa kinafiki ila kutamka neno nimekosa ni haramu kwao.
Nilidhani hii tabia anayo wa kwangu tu!
 
Back
Top Bottom