Ni mapungufu gani ya mkeo/mumeo umeamua kuishi nayo?

Ni mapungufu gani ya mkeo/mumeo umeamua kuishi nayo?

kwa mwanaume hata kama unaficha id naamini sio vizuri kuanika mapungufu ya mwandani wako tena mengine yanadhalilisha.
Kuna vitu ukiviongea unapata relief ndio maana tunatumia fake id ,
Ukimkumbuka yule kinyozi aliepata kumnyoa mfalme akagundua mfalme ana masikio kama ya punda na hicho sio kitu angeweza KUSHEA na familia yake au jamaa zake, angezua taharuki , so akaamua kwenda kuchimba shimo porini Ili akiongea sauti isibebwe na mwangwi akasema mfalme ana masikio kama ya punda halafu akacheka sana Kisha akafukia Hilo shimo akajiomdokea zake,
Moral of the story jf ni sehemu unaweza kuongea Siri Ili kupata relief
 
1.Wivu baba cha wivuuu
2.Gubu jamani ili tu abembelezwe
3.Kudeka usiseme
4.Kulalamika
5.Simu upokee haraka kama umebeba kikombe cha chai kitupe upokee simu yake

Haya mapungufu machache sana nayamudu hana mambo mengi baba wa watu
 
1.Wivu baba cha wivuuu
2.Gubu jamani ili tu abembelezwe
3.Kudeka usiseme
4.Kulalamika
5.Simu upokee haraka kama umebeba kikombe cha chai kitupe upokee simu yake

Haya mapungufu machache sana nayamudu hana mambo mengi baba wa watu
😀😀 huyu mapungufu yake mazuri hayaboi, hapo kwenye kutupa kikombe cha chai ili upokee simu yake mi hoi😀😀
 
Back
Top Bottom