Kapeace
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 24,514
- 65,521
Au tunadate mutu mumoja na tulivyo wataalam wa kubebisha hapo namba 2 wanajinunisha ili wabembelezwe, zile za nakupenda kuliko wote ukiniacha nitakufa wanazipenda balaa,😂1.Wivu baba cha wivuuu
2.Gubu jamani ili tu abembelezwe
3.Kudeka usiseme
4.Kulalamika
5.Simu upokee haraka kama umebeba kikombe cha chai kitupe upokee simu yake
Haya mapungufu machache sana nayamudu hana mambo mengi baba wa watu