Ni mapungufu gani ya mkeo/mumeo umeamua kuishi nayo?

Ni mapungufu gani ya mkeo/mumeo umeamua kuishi nayo?

Acha aipate pate, anafurahisha sana namuhurumia asipate magonjwa tu, yani kila nifanyacho lazima atake kukijua simu isipopokelewa nijielezee kwa kina, kila siku nina kazi ya kusema ratiba yangu bila hivyo ni kesi tena kesi nzito sio masihara alishawahi nishtaki kwa mlezi wangu km mzazi tu kikesi cha kijinga hadi aibu,
Aisee ana upendo wa kweli mwaya, imagine asingekua anakupenda asingebother kuuliza wala kuona wivu, hapo shikilianeni mzeeke pamoja.👍
 
Sio wote, mi naomba msamaha hata mara 5 kwa siku na yenye kumaanisha sio ili yaishe, nyie wanaume ndo wagumu kuomba msamaha
Mie nikijua nimeyabananga, naomba tu msamaha, kwani neno lenyewe halinikati hata pumzi.

We kama ni muomba msamaha mzuri, uje nikuoe rafiki yangu, mkewe kiswaswadu, hajui kukosea, hajui kuomba msamaha. 😂🤣
 
Ndio Mkuu, vile unaminya dawa ya meno kunaongea vile ulivyo. Kuna watu wanabinya kati kati, wengine juu, wengine mwisho na wengine mwisho alafu wanaikunja.

Nadhani mdau aliyelalamika ni hawa wakuminya mwisho ya tube, huwa ni watu wataratibu, makini na wenye utulivu kwenye mipango yao. No wonder analalamika.

Ukijichunguza utagundua huwa kuna mahali unabinya hiyo tube ya dawa kila siku.
Kulalamika kuhusu uminywaji wa dawa ya meno ni tatizo la akili. Hawa watu wanakuwa na Obssessive compulsive disoredr(OCD). Akili zao huwa hazitulii mpaka kila kitu kifanywe kwa utaratibu.
 
Personally mama chanja amekua nguzo kubwa sana kwangu. Tunatofautiana, yeye ni super organized alaf mimi sasa ni totally opposite. Kweli anajitahd, kila kitu anaweka sawa after me na ameshazoea.
Jam ni pale akinuna, wooi, ukizubaa mnaeza enda hata siku 3. Nlichoamua kufanya, nkiona amenuna, namtema kwanza nakua nahangaika na mishe zangu, anaanza kuona wivu, akishafika hyo stage, nakaza vifuniko vyote ndani ya nyumba, lazma anitafute aniombe msaada. Tunaanza kuongea tena.
Lakini watoto analea vzur, nyumba n safi mida wote, chakula standard kabisa n.k
Mungu ampe maisha marefu seedco wangu
 
Mapungufu yanachekesha , ila natumai kuna mazuri mengi yanayofanya mzidi kusonga mbele pamoja, keep moving mpaka kifo kije kuwatenganisha. I can't wait pia kuja kusimulia hivi😀😀🙏
Ila sister unaonekana muungwana sana.. I hope one day nitakuja kukufahamu. Nimekuona unaandika vizuri kwenye nyuzi nyingi.
 
FB_IMG_1697783317555.jpg
 
Back
Top Bottom