Ni mapungufu gani ya mkeo/mumeo umeamua kuishi nayo?

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Umenena kweli mkuu.
Ndio anaweza kukuigizia. Ila kwa miaka miwili n ngumu kuficha vyote. Sema sisi wakati mwingine tunashindwa kutumia akili yetu tumetekwa.

Pengine kujipa tumaini kuwa atabadilika ndoani. Ama ntambadilisha.

Wanawake n wasanii sana. Wanaume tunapaswa kutumia sana akili. Inabidi kufanya maamuzi magumu yafanywe
 
Hapo kwa kuwashika watoto nimekusifu
 
Hahahahahah mie kuna namna nawindwa pia anahisi nagusa beki taraa huwa nachelewaga kuingia room natuliaga living room mda mrefu basi zitapigwa simu saingine ananyata anatokezea tu. Tukalale 🤣🤣🤣
Teh teh teh teh teh. Ngoja nae atajiongeza aanze kukaa kimtego. Unajua nini? Siku ya kukutwa, utakua living room hapo hapo wala hutoenda mbali. Na kwanza utapigwa picha ndo vurugu zifate.
Hapo ndo utamwambia umepitiwa na yule mdudu(wengine wanamuita shetani)
 
KATAA NDOA
 
Hahahahahah mie kuna namna nawindwa pia anahisi nagusa beki taraa huwa nachelewaga kuingia room natuliaga living room mda mrefu basi zitapigwa simu saingine ananyata anatokezea tu. Tukalale 🤣🤣🤣
Ukute kama ana kijamaa ki IT kakutegeshea ka camera hapo, siku ukizama uvinza, mwanzo mwisho picha ipo. Ndo utajutia kosa la kupenda sasa. Anaitwa mama yako na aadogo zako wa kike,na mashoga zake(kikao cha dhalula). Tena na wewe ukiwepo, kosa ni kumpiga hapo. Anafunga milango,TV inafunguliwa, na mgodi wako uko hapo(housegirl), anaiweka na kuicheza mwanzo mwisho.

Kitakachofata, utajua siku hiyo
 
Hahahahahah mie kuna namna nawindwa pia anahisi nagusa beki taraa huwa nachelewaga kuingia room natuliaga living room mda mrefu basi zitapigwa simu saingine ananyata anatokezea tu. Tukalale [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

[emoji23][emoji23] anatokezea kama jini kabula unashtuka yupo kweny Kona tu waaaah
 

[emoji23][emoji23][emoji23]
 
mwanamke mpole ndio lulu hio, huwa wakipenda ni burudani sana unajilia mema tu[emoji1787]


Kuna tofauti ya upole na ukimya.
Wengi huwa wanachanganya.

Wengi ni wakimya sio wapole na ndio maana wamejaa viburi na jeuri hujapata kujua!

Watu wa nje watazani fulani ako na mke msikivu kumbe thubutu nanga zinapaa mpaka basi.

Mke anataka ufanye kila kitu atavyo yeye hadi marafiki akuchagulie imagine?! [emoji848][emoji848]
 
Kumbe mtaalam hivi?
 
hahahahah
huyo sio mke bali ni Baraza la NEC 🤣
 
hahahahah hakuna kitu kama hicho 🤣 sema nainjoy kuona kuna kitu kinaendelea kichwani mwake kuhusu mimi. Ni nzuri kwa afya ya mahusiano
 
hahahahah sasa beki 3 anakuwa nae kashalala ndio uzuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…