rikiboy
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 21,952
- 43,265
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kupika vyakula kwa kuchemsha, haloo huwa nachoka sana,kuna siku nimetoka safari nikaja na viazi mviringo nusu gunia nikiamini hapa itakuwa ni mwendo wa zege tu lkn huwezi amini vile viazi ndo ilikuwa breakfast ikawa kila siku asubuhi anachemsha anavileta hivyohivyo mpaka mzigo ukakata