Ni mapungufu gani ya mkeo/mumeo umeamua kuishi nayo?

Mkeo ana tabia ambayo ndio imevunja ndoa nyingi sana miaka hii.

Ku-weaponize sex dhidi ya mmeo ni kitu kibaya sana.
 
Mkeo ana tabia ambayo ndio imevunja ndoa nyingi sana miaka hii.

Ku-weaponize sex dhidi ya mmeo ni kitu kibaya sana.
Kweli kabisa mkuu yaani kama una roho nyepesi mbona unapiga chini, sema mm nimeamua tu niishi na hayo mapungufu for the sake ya malezi ya watoto, maana watoto bila malezi ya mama ni changamoto. Nikibanwa sana nakamata mchepuko wangu napunguza uzito narudi home mwepesi, maisha yanasonga
 
Huu nao ni uamuzi mzuri, maana umepima cons na pros za kumuacha ukaona kipi ni SAHIHI .. good luck Mzee.

Ila mwanaume anaeoa miaka hii inabidi awe na thick skin, maana si kwa wanawake hawa na jamii nayo ndio hii hapo inawakingia kifua kwa kila wanalolifanya.
 
Sasa tumeelewana
 
daah unakosa mambo mazuri buddah. naonaga mto.mbano mzuri ni ule wa usikumwingi tena ile kwenye giza la kufa mtu, ni tam sn, ladha yake haielezeki
 
Mwanamke anayekimbilia kukunyima usiku sasa umemuoa wa nini sasa.

Akifanya hivyo kesho namletea mke mwenzie tu.
 
Fanya yote lakini sio kumnyima chakula mwenzio.
 
Muha yule na ubishi daadek kama uji na mgonjwa. Simu ukipiga na kupokelewa unashangilia yaani kila siku simu utapiga mpaka ujae upepo haipokelewi, mara itupwe huko yaani tafrani. Mengine Alhamdulilaah nimepata ila humo kwenye hayo daah hapana
 
Ubishi jamani ubishiiii kwani waha wote lazima muwe wabishii?
Daah hawa viumbe sijui ndio Maana Mungu akawapa Mkoa wa mbali, aisee ni wajuajii, wabishi daah kiukweli ktk kitu kinaniboa kwa huyu Muha wangu hili la kubishabisha daah sijawahi kupiga mwanamke ila nnahisi sintazeeka sijamlamba kofi
 
Wee kitumbua kabisa kimeanikwa kwa ufundi. Hasira zinakata. Kichwa cha chini kina nguvu[emoji1787][emoji1787]

Mi sipo hivyo na wangu sio rahisi afanye hayo labda mchepuko japo nae siwezi mpiga kipigo ni kwa mke wangu tu hawa wengine tukishindwana pita kushoto nipite kulia
 
Mwanamke anayekimbilia kukunyima usiku sasa umemuoa wa nini sasa.

Akifanya hivyo kesho namletea mke mwenzie tu.

Mimi hata anune vp nna upwiru atanipa tu hata kwa kumbaka manina zake uninyime tam nikiisusa nitaenda kuitafuta ya nje atajuta kuniringishia
 
Hahahahahhah......umeniongelea mim kabsa kaka......hata wangu anakuwa na hiii kitabia ya kutaka kujua kila kitu in detail na ingine ndio hii anapenda Sana kuongea na simu na ndug zake kuliko ndg zangu......
 
πŸ˜‚πŸ˜‚ Labda hana strong bond na nduguzo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…