Ni mapungufu gani ya mkeo/mumeo umeamua kuishi nayo?

Ni mapungufu gani ya mkeo/mumeo umeamua kuishi nayo?

Hapa ndo unajaribu kuona nini? Unapomuanika mwenzako mtaani unaonekana kituko. Mtandaoni sasa itakuwaje?
Ndo wanashuka vyeo kutoka uanaume na kuwa watoto wa kiume.

Kwa hizi fake ID sio kumuanika funguka tu mkuu wa kujifunza ajifunze hunijui, sikujui wala humjui nnae muanika hili nalo ni la kuhofia?
 
Ki
mi kwenye mahusiano nakuwaga mdogo sana ila sio kwenye maisha mengine hapo kuuomba msamaha sio rahisi kabisa,

kuna neno asante, pole na samahani haya matatu husaidia kudumisha mahusiano au kubomoa
Mie napenda kuleta uungwana na amani, ila upande wa pili usipotaka uungwana na amani, naputa mchana na natia DOLE, liwalo na liwe.
 
Mungu akupe nini tena ndg gunia la chawa? Hizo drama tunazo wanawake wengi na huwa tunazifanya tukiwa na mwanaume huyo 1, ukiona ke alikuwa hivyo then akaacha ujue mko zaidi ya mmoja hivyo mnamuweka bize kiasi hana muda wa drama, hii ni siri nawaibia chunguzeni ex wenu mliowafumania mtagundua hilo hawakuwa na hizo drama, sie wanawake drama na mapenzi ya kweli hutembea pamoja
Ahsante Kapeace kuna kitu nimejifunza hapo.
 
Mtu
unajua tunatofautiana sana kutomba ni muhimu huwezi epuka lakini tomba kwa afya, unatombaje kama uko kwenye mashindano? mie nile nishibe niwe happy hali ya hewa inaruhusu sawa ila leo umetomba vitatu ksho hizo nyege zinatoka wapi?
Mtuache tuwatombe afya zinaturuhusu, kabla afya haijawa mgogoro ukitomba kimoja leo mpaka zipite wiki na lazima ukimaliza unywe panado kupoza maumivu ya misuli.
 
nyege, yan uyu kukutomba wiki nzima haoni hasara hta umpe vitatu kwa usiku mmoja bado kesho atataka tena, sijakataa ndio kutiana n muhim ila namwambia kuna siku ntakimbia na chupi mkononi na sio kua ukiwa mbali anateseka yan mnaweza shinda mbali kila mtu busy ila mkionana jioni tu tayari ana nyege, saa zingine najisemea atakua na hisia kali juu yangu lakini kuna mda najisemea awee this is too much am not a sex machine!
Huyo anajikomoa mwenyewe
 
Wanawake akili zenu mnazijua wenyewe, dawa yenu ni sisi kuwa watu tusio tabilika, binafsi sitabiliki... Nashukuru nae anajua hilo, nikiomba msamaha linakuwa limeishia hapo, ila kama atajikuta ndio mwamba ataona rangi zoote za duniani mpaka mbinguni.

Hili la kutotabirika linanisaidia sana hadi ye mwenyewe huwa anauliza hivi we huwa ukoje?
 
Oya wee, siachi, mie kama nimekosea kweli, namwambia tu samahani, hii tabia sijaona madhara yake, na kama akileta umbubu, nitamletea umbubu kiasi ataona dunia imemuegema yeye.

Siwezi kabisa mi nikikosea namwambia acha na hilo bana ndo imeisha hiyo na nna kauli yangu kwake huwa napenda kumwambia mwanaume hakosei na yeye ndo huwa anamalizia nikisema acha na hilo au yaishe ye husema mwanaume hakosei namalizia naam au umeona!
 
Back
Top Bottom