Ni mapungufu gani ya mkeo/mumeo umeamua kuishi nayo?

Ni mapungufu gani ya mkeo/mumeo umeamua kuishi nayo?

Hili la kutotabirika linanisaidia sana hadi ye mwenyewe huwa anauliza hivi we huwa ukoje?
Ewaah, sasa hilo mie huwa naliita goli la ugenini, linanibeba kinooma, ye mwenyewe akija lazima aje na adabu kazishika mkononi zisimponyoke anajua zikiniponyoka mimi msala wake mzito.
Hivyo tunaishi tu, kikubwa mie sipendi niwe chanzo cha tatizo. Nimekosea na kweli ni kosa kibinadamu namuomba radhi, sio ile mke wangu kimeenda kimerudi, hata kumwambia tu nisamehe mama watoto, ama niwie radhi inatosha.
Ikiwezekana unakavuta unakakumbatia, make over inapita. Usuluhishi wakati wa kumnyandua ndio msamaha bora mnoo, haswa kama unamjulia ubovu wake, ukigusa akikojoa we unaomba msamaha tu, mpaka umalize ni vicheko tu 😂🤣
 
Vumilia huenda atakata moto mkuu,
Hata mie napemda kunjunjana kuliko kula, ukijilegeza nakunjunja tu.. 😂🤣

Lakini sio hiyo ya leo 3, kesho 3, keshokutwa 3, mtondogoo 3. 😂😂
huyu akikojoa kwanza ngoma hailali nishapeleleza sana huenda kuna midawa ananinywea lakini wala sema n mtu wa mazoezi ila huo ndio udhaifu yan mengine kwangu ya kawaida sana kama akibadili nguo chumban anatupa tu taulo kule boxer hayo yote kwangu s kitu ila ngoma hapo kitandani
 
Back
Top Bottom