Ni mara ya pili namkopesha mtu pesa kumbe anataka akalipe Logde

Ni mara ya pili namkopesha mtu pesa kumbe anataka akalipe Logde

sanalii

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2018
Posts
1,639
Reaction score
5,767
So mapema kabisa mtu anapiga simu akilalamika mambo yamebana so anahitaji backup, and i said why not if it is possible to put smile to someone? After all he will pay back when things are okey but.

Imeniuma sana, mtu kukulilia shida halafu kumbe shida yenyewe ni ya uzinzi tu, nimeapa hawa watu wawili kuwaweka kwenywe black list unless niwakute wamelegea kwa njaa au wako hospital wanaumwa ndio naweza kutoa pesa yangu otherwise sitafanya hivyo.

Sababu za kunipa hasira ni kama zifuatavyo:-
1. Sex sio an emergence issue, kama unajua huna hela unaweza kutulia
2. Wameniona mimi mjinga naweza toa hela wakafanye ujinga, while am not, i did it for with god faith.

And I thank them for a lesson…
 
So mapema kabisa mtu anapiga simu akilalamika mambo yamebana so anahitaji backup, and i said why not if it is possible to put smile to someone? after all he will pay back when things are okey but....
Imeniuma sana, mtu kukulilia shida halafu kumbe shida yenyewe ni ya uzinzi tu, nimeapa hawa watu wawili kuwaweka kwenywe black list unless niwakute wamelegea kwa njaa au wako hospital wanaumwa ndio naweza kutoa pesa yangu otherwise sitafanya hivyo.

sababu za kunipa hasira ni kama zifuatavyo:-
1. sex sio an emergence issue, kama unajua huna hela unaweza kutulia
2. Wameniona mimi mjinga naweza toa hela wakafanye ujinga, while am not,i did it for with god faith.

and i thanks them for a lesson
Think twice
Ukiona kijana anaomba hela most of them wanatumia Pesa kwa ajili ya Ngono tu na sio kingine ni kuwa makini Sana usipende kutoa hela yako ili Mtu Afanye dhambi !
 
Think twice
Ukiona kijana anaomba hela most of them wanatumia Pesa kwa ajili ya Ngono tu na sio kingine ni kuwa makini Sana usipende kutoa hela yako ili Mtu Afanye dhambi !
Uko sahihi kabisa nimechelewa kulijua hili, pia hawa ni watu walio mid 30s, nilidhani watakua na genuine issue.
 
So mapema kabisa mtu anapiga simu akilalamika mambo yamebana so anahitaji backup, and i said why not if it is possible to put smile to someone? after all he will pay back when things are okey but.

Imeniuma sana, mtu kukulilia shida halafu kumbe shida yenyewe ni ya uzinzi tu, nimeapa hawa watu wawili kuwaweka kwenywe black list unless niwakute wamelegea kwa njaa au wako hospital wanaumwa ndio naweza kutoa pesa yangu otherwise sitafanya hivyo.

sababu za kunipa hasira ni kama zifuatavyo:-
1. Sex sio an emergence issue, kama unajua huna hela unaweza kutulia
2. Wameniona mimi mjinga naweza toa hela wakafanye ujinga, while am not,i did it for with god faith.

And I thank them for a lesson…
Acha uchoyo wewe. Kumbuka hata wewe ulipatikana kwa utamu. Elewa hilo.

Sauh'waaah!
 
Kuna Siku natoka maemezi, Ghafla kijana Mmoja ananisimamisha

Et "Brooo yaan Sina Kila kitu, huko nyumban Wife Leo Sijui atakula nini nahapa natoka kazin Sina hata mia ,Leo muhindi hajatulipa".

Nikajishika mfukon nikamuachia Buku Tano ( sema nikajiuliza namna alivyochomekea kimaridadi)

Alaaa, mida fulan saa tatu usiku, nimependa Chek BOLI Kwa bar fulan hivi Ina Gest hapohapo.

Mara Wacha nimuone Kijana akiwa na Demu wake wanatoka humo gest Nahisi ndo walikua wanaenda kula msosi wa usiku ile Hela yangu.
 
Ukimpa mkopo, pesa ni yake anaamua kufanya lolote. Mf. Naomba mkopo ila nia yangu ni kwenda kununua sumu ya kuuwa mtu. Ila ungegundua hungenipa.
Hapana, siwezi mpa mtu hela akafanye uzinzi, au jambo liliso la dharura au muhimu
 
Kuna Siku natoka maemezi, Ghafla kijana Mmoja ananisimamisha

Et "Brooo yaan Sina Kila kitu, huko nyumban Wife Leo Sijui atakula nini nahapa natoka kazin Sina hata mia ,Leo muhindi hajatulipa".

Nikajishika mfukon nikamuachia Buku Tano ( sema nikajiuliza namna alivyochomekea kimaridadi)

Alaaa, mida fulan saa tatu usiku, nimependa Chek BOLI Kwa bar fulan hivi Ina Gest hapohapo.

Mara Wacha nimuone Kijana akiwa na Demu wake wanatoka humo gest Nahisi ndo walikua wanaenda kula msosi wa usiku ile Hela yangu.
Ulijisikiaje ulipomuona?
 
Kila mtu na vipaumbele vyake so ukimkopesha mtu usimpangie maamuzi wewe Kama riba mlime lakini usimpangie chakufanyia.
Labda nisijue, ila nikijua anachoenda kufanya siwezi, sio kua nampangia ila ni kua huyo mtu ni wa hovyo
 
Hahahahahahahaha Kuna jamaa yangu ana Tabia hio,ila Sha koma kumuazima pesa
 
Da . Kunamambo Huwa yanakera sana. Siku moja nipo na mshikaji wangu wa karibu sana japo Huwa tunakutana makwetu kipindi cha sikukuu za mwisho wa mwaka kwan yeye anaishi moro na mm dar. Sasa sikumoja tukakutana bar flan tukawa tunasongesha gambe taratiibu, ghafla jamaa akamuelewa demu mmoja. Basi demu akasogea tukawa tunakunywa wote. Muda ilipoenda sana nkamwambia mshikaji tuondoke yeye akasema anabaki hawezi kumuacha demu coz demu ashajilegeza kwake. Mm nikasepa, kesho yake asubh na mapema napigiwa simu niende pale nilipomuacha jana yake. Ile nafika kumbe mwana anadaiwa pesa ya chumba na pesa ya demu jumla 40000. Nikatoa kumkopesa mshikaji asiumbuke lakini tokea pale ndio ikawa urafiki uliishia palepale hamna hata mia niliolipwa mpaka leo hii.
 
Mkuu kama uliweza kumkopesha mtu hela akalipia lodge mimi si nikuonyeshe na ushaidi kabisa nadaiwa kodi namkwepa mwenye nyumba unikopeshe tena naomba nsaidie nilipe mwezi mmoja tu elfu 25 mimi nitairejesha sanalii
 
Are you serious?
 
Back
Top Bottom