Twilumba
JF-Expert Member
- Dec 5, 2010
- 12,576
- 14,522
Hela ni zako,Sababu za kunipa hasira ni kama zifuatavyo:-
1. Sex sio an emergence issue, kama unajua huna hela unaweza kutulia
2. Wameniona mimi mjinga naweza toa hela wakafanye ujinga, while am not, i did it for with god faith.
matumizi ni yao,
ni kama wakikurejeshea waanze kukupangia matumuzi, impossible
Acha ukuda!