Hela ni zako,Sababu za kunipa hasira ni kama zifuatavyo:-
1. Sex sio an emergence issue, kama unajua huna hela unaweza kutulia
2. Wameniona mimi mjinga naweza toa hela wakafanye ujinga, while am not, i did it for with god faith.
Hata kama nimekukopesha na faini lkn nikijua unaenda kurombea sikupiKila mtu na vipaumbele vyake so ukimkopesha mtu usimpangie maamuzi wewe Kama riba mlime lakini usimpangie chakufanyia.
kabisa kaka nipo serious naomba nikudmAre you serious?
Unahusika kwenye kukopesha, na si mtatumizi ya ulichokikopesha..!! Yaani unataka umkopeshe hela mtu halafu umpangie cha kufanya??? Huwezi mkopesha acha, mwambie huna, full stop..!!So mapema kabisa mtu anapiga simu akilalamika mambo yamebana so anahitaji backup, and i said why not if it is possible to put smile to someone? After all he will pay back when things are okey but.
Imeniuma sana, mtu kukulilia shida halafu kumbe shida yenyewe ni ya uzinzi tu, nimeapa hawa watu wawili kuwaweka kwenywe black list unless niwakute wamelegea kwa njaa au wako hospital wanaumwa ndio naweza kutoa pesa yangu otherwise sitafanya hivyo.
Sababu za kunipa hasira ni kama zifuatavyo:-
1. Sex sio an emergence issue, kama unajua huna hela unaweza kutulia
2. Wameniona mimi mjinga naweza toa hela wakafanye ujinga, while am not, i did it for with god faith.
And I thank them for a lesson…
Ndo usimpe kuliko kujifanya unamkopesha halafu unampangia cha kufanya..!! Kwani si atakulipa..??Hata kama nimekukopesha na faini lkn nikijua unaenda kurombea sikupi
Ndio siwezi kumpa mkuuNdo usimpe kuliko kujifanya unamkopesha halafu unampangia cha kufanya..!! Kwani si atakulipa..??
Vipi ambao tunashida zingine unaweza tusaidia mkuu mimi nikupmNdio siwezi kumpa mkuu
Una roho mbaya sana blaza, hili mbona mabaharia tunapigana tafu sana kwenye mipango ya kwenda kunyandu wewe vipi unaka wakapige punyeto?So mapema kabisa mtu anapiga simu akilalamika mambo yamebana so anahitaji backup, and i said why not if it is possible to put smile to someone? After all he will pay back when things are okey but.
Imeniuma sana, mtu kukulilia shida halafu kumbe shida yenyewe ni ya uzinzi tu, nimeapa hawa watu wawili kuwaweka kwenywe black list unless niwakute wamelegea kwa njaa au wako hospital wanaumwa ndio naweza kutoa pesa yangu otherwise sitafanya hivyo.
Sababu za kunipa hasira ni kama zifuatavyo:-
1. Sex sio an emergence issue, kama unajua huna hela unaweza kutulia
2. Wameniona mimi mjinga naweza toa hela wakafanye ujinga, while am not, i did it for with god faith.
And I thank them for a lesson…
Sina Roho mbaya, kama amekwama na watoto hawajala au kuna mtu anaumwa hapo sawa, ila sio uniazime pesa ya iufanyia uzinzi, sina ndo nimefuta ukaribu na watu wa aina hii. Am not of that typeUna roho mbaya sana blaza, hili mbona mabaharia tunapigana tafu sana kwenye mipango ya kwenda kunyandu wewe vipi unaka wakapige punyeto?
Ukuda tu umekujaaSina Roho mbaya, kama amekwama na watoto hawajala au kuna mtu anaumwa hapo sawa, ila sio uniazime pesa ya iufanyia uzinzi, sina ndo nimefuta ukaribu na watu wa aina hii. Am not of that type
Njoo mkuu ishu yako ikiwa sensitive hamna shidaVipi ambao tunashida zingine unaweza tusaidia mkuu mimi nikupm
Ni kweli mkuu,kuna jamaa tunafanya nae kazi hapa ofisini,sasa walipata trip ya kwenda dar kikazi,sasa mkurugenzi akawalipia ticket ya ndege kutokea mwanza,kijana akawa anahaha kutafuta pesa,kumbe zile pesa anazotafuta anataka akamlipie ticket malaya wake asafiri nae wakale bata,kufika dar ni anapost tu sehemu za starehe tu ndio watu kutuambia hela aliyokuwa anaihangaikia ilikuwa ni ili akafanyie stareheThink twice
Ukiona kijana anaomba hela most of them wanatumia Pesa kwa ajili ya Ngono tu na sio kingine ni kuwa makini Sana usipende kutoa hela yako ili Mtu Afanye dhambi !
Kwani akikopa si analipa kwa hela aliyoitafuta mwenyewe? Wacha unoko blazaSawa ila kama ni kidume utafute hela, sio ukope ukalipe lodge, ni akili mbovu
Ninachokataa mimi ni hii habari ya kupangiana matumizi ya hela, huo ni ushamba na ukudaNi kweli mkuu,kuna jamaa tunafanya nae kazi hapa ofisini,sasa walipata trip ya kwenda dar kikazi,sasa mkurugenzi akawalipia ticket ya ndege kutokea mwanza,kijana akawa anahaha kutafuta pesa,kumbe zile pesa anazotafuta anataka akamlipie ticket malaya wake asafiri nae wakale bata,kufika dar ni anapost tu sehemu za starehe tu ndio watu kutuambia hela aliyokuwa anaihangaikia ilikuwa ni ili akafanyie starehe
Lakini si amekopa, au ni umempa bure?[emoji28][emoji28]So mapema kabisa mtu anapiga simu akilalamika mambo yamebana so anahitaji backup, and i said why not if it is possible to put smile to someone? After all he will pay back when things are okey but.