Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Once a cheater, always a cheaterAdhabu IPI inastahili kwa mwanamke msaliti kwenye ndoa, msaada tafadhali
Alokuambia kuunganisha wanawake ndo wanafika nani?? Seems huna vionjo..poleHapana mkuu niko vizuri naweza hata kuunganisha bila ya kuitoa
Kiufupi, kila mtu/jamii ina hulka yake, kama kuoa na kuacha kwako si issue basi nakushauri kaoe watu hawa, waSukuma wa Mwanza au Geita, na siyo Simiyu Tabora na Shinyanga, kaoe mNyakyusa wa Mbeya au mwisho wa yote kaoe Muha wa KigomaHabari wakuu
Katika maisha yangu nimekua nikiamini mwanamke akiwa na kazi au biashara ya kutoka asubuhi na kurudi jioni kuongea na wateja wa kiume katika biashara basi ni rahisi kuliwa
Na mimi nilivyoumbwa na wivu nikaona bora nijinyakulie mtu asiyekuwa na kazi yani awe mama wa nyumbani nikachukua mtoto mmoja mbichiii wa kizaramo lakini nifupishe story aliliwa palepale nyumbani kwenye kitanda changu nikamtimua.
Nikakaa kama miaka miwili ya usingo baadae nikavuta pisi moja teketeke ya kinyaki ina miaka 22 haina kazi nikawa naiacha nyumbani nikiamini kua ikiwa inajishughulisha wahuni watanichapia
Lakini mpaka naandika uzi huu kwa kifupi nimetoka kufumania
Bill clinton alikuwa ana kazi ya kirun dunia lakini alipata mwanya wakulambwa de liboloz na monica.🤣🤣🤣🤣🤣🤣 angekuwa singlemom hapo🙆🙆🙆🙆...pole mkuu jaribu wenye mishe zao au waajiriwa.Sikuzote mwanamke au mwanaume akikaa tu bila kujishughulisha hana Cha kuwaza zaidi ya maovu
Kuchapiwa/kuchepuka ni nature ya mtu. Hadi waliokutwa na bikra wanachepuka 😅🤣🤣🤣🤣🤣🤣 angekuwa singlemom hapo🙆🙆🙆🙆...pole mkuu jaribu wenye mishe zao au waajiriwa.Sikuzote mwanamke au mwanaume akikaa tu bila kujishughulisha hana Cha kuwaza zaidi ya maovu
Kumbe nyakos wanatoa sanaSasa umeoa mnyaki unataka abanie kweli
Oa mbena au muha
Ni nature wala sio kaliba ya mtuKuchapiwa/kuchepuka ni kaliba ya mtu. Hadi waliokutwa na bikra wanachepuka 😅
Na kwa nini asitombwe wakati mwanamke ameletwa duniani kwa kazi hiyoHata huyo watamtomba kazini
Kiswahili kigumu mkuu, nilichomaanisha ni hivyo hivyo kaka.Ni nature wala sio kaliba ya mtu
Hili ndio tatizo tunaloweza lifikiri kwa sasaNdio ukubwa huo, cha muhimu waza pesa, usimuwaze yeye hautoumia
Nawee nae! Kwani ukimbikiri wewe hauwezi kukaziwa?Hovyooooooo kwani huyo aliye busy nawe ukimpa Upenyo tu kidogo Wajuba hawawezi Kumkojolea?
Mwambieni huyo Jamaa ukweli kuwa Wanawake hawana Dhamana, hawachungiki hivyo Yeye akiwa nae Kitandani awajibike Kivyake na atosheke aendelee na Ratiba zake za Kimaisha na kamwe asipoteze muda wake Kumlinda au Kumfuatilia.
Mwanamke hukumkuta Bikira halafu unataka kuanza Kumchunga. Kwa Upuuzi huu mtakaziwa mno na sana tu hadi Akili ziwakae sawa?
Cc: Nyamwage
Ujaishi mbeya kaka?Kumbe nyakos wanatoa sana
Pia mwamba na wewe binafsi ni wa kujiangaliaHabari wakuu
Katika maisha yangu nimekua nikiamini mwanamke akiwa na kazi au biashara ya kutoka asubuhi na kurudi jioni kuongea na wateja wa kiume katika biashara basi ni rahisi kuliwa
Na mimi nilivyoumbwa na wivu nikaona bora nijinyakulie mtu asiyekuwa na kazi yani awe mama wa nyumbani nikachukua mtoto mmoja mbichiii wa kizaramo lakini nifupishe story aliliwa palepale nyumbani kwenye kitanda changu nikamtimua.
Nikakaa kama miaka miwili ya usingo baadae nikavuta pisi moja teketeke ya kinyaki ina miaka 22 haina kazi nikawa naiacha nyumbani nikiamini kua ikiwa inajishughulisha wahuni watanichapia
Lakini mpaka naandika uzi huu kwa kifupi nimetoka kufumania
Hovyooooooo kwani huyo aliye busy nawe ukimpa Upenyo tu kidogo Wajuba hawawezi Kumkojolea?
Mwambieni huyo Jamaa ukweli kuwa Wanawake hawana Dhamana, hawachungiki hivyo Yeye akiwa nae Kitandani awajibike Kivyake na atosheke aendelee na Ratiba zake za Kimaisha na kamwe asipoteze muda wake Kumlinda au Kumfuatilia.
Mwanamke hukumkuta Bikira halafu unataka kuanza Kumchunga. Kwa Upuuzi huu mtakaziwa mno na sana tu hadi Akili ziwakae sawa?
Cc: Nyamwage
Sasa tuwafatilie au tusiwafatilie ?
Kumbeee yaani ni kubongeza kizenji, mdebwedoUjaishi mbeya kaka?
Maharage ya mbeya je?
Kipindi nipo kule nilikua nakimbia mbususu
Unakula mwanafyale na zawad kutoka mwanjelwa analeta
Kama una ndevu za kuzugia na rangi sio kama yao Ile ukienda kule utaishiwa uroto mzabzab Na si unajua mbeya kua na zigo ni ²²/⁷Kumbeee yaani ni kubongeza kizenji, mdebwedo
atapasuliwa huko huko mchana wakati wa u busyPole Sana...
Achana na kuolea watu ...
Tafuta alie bize mnarudi wote jioni