Nyamwage
JF-Expert Member
- Oct 16, 2020
- 712
- 1,748
Habari wakuu
Katika maisha yangu nimekua nikiamini mwanamke akiwa na kazi au biashara ya kutoka asubuhi na kurudi jioni kuongea na wateja wa kiume katika biashara basi ni rahisi kuliwa
Na mimi nilivyoumbwa na wivu nikaona bora nijinyakulie mtu asiyekuwa na kazi yani awe mama wa nyumbani nikachukua mtoto mmoja mbichiii wa kizaramo lakini nifupishe story aliliwa palepale nyumbani kwenye kitanda changu nikamtimua.
Nikakaa kama miaka miwili ya usingo baadae nikavuta pisi moja teketeke ya kinyaki ina miaka 22 haina kazi nikawa naiacha nyumbani nikiamini kua ikiwa inajishughulisha wahuni watanichapia
Lakini mpaka naandika uzi huu kwa kifupi nimetoka kufumania