Ni masharti gani ya ajabu uliwahi kukutana nayo nyumba ya kupanga?

Ni masharti gani ya ajabu uliwahi kukutana nayo nyumba ya kupanga?

Mkuu nini shida maelezo mafupi tu unakosea? 😁

Masharti yaliyonishinda hadi nikagombana na mwenye nyumba ni kunitaka nisiwe naleta demu kwenye nyumba aliyonipangisha mwenyewe

Eti nikiwa na mambo yangu nimalize hukohuko kitaa nisilete mwanamke ndani ya nyumba yake... Mashart mengine ni hataki mziki mkubwa yani nikifungua radio iwe ni sauti ya chini sana kiasi ambacho sifurahii 🥺
 
Wa kwangu hakusema ila ni vijitabia flani alijijengea akajua mi mnyonge. Hapigi hodi anaingia moja kwa moja ndani na kibakuli chake umwekee ulichopika, sikumpa na hata mlango nikawa nafunga kwa ndani, atapiga hodi weee mpaka anaondoka. Matokeo yake alivunja choo alichokuwa akitumia dada wa kazi na mie nikamhama na kodi nikamwachia.
 
Back
Top Bottom