Umepata sifuri...Uzi huu haukuhusu wewe ambaye hujawahi kupanga😀😀Ngoja nikipanga nitaleta mrejesho
Au mnasemaje wadau?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umepata sifuri...Uzi huu haukuhusu wewe ambaye hujawahi kupanga😀😀Ngoja nikipanga nitaleta mrejesho
Au mnasemaje wadau?
Heeeeh!!! Kisa Nini??Kuna nyumba sheria mojawapo ni hakuna kuoga na mke au mume wako
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Hakuna kula kitimoto kweny hii nyumba dah Tz bhanaMimi niliambiwa kama nataka kulewa home nataka kumnunulia mama mwenye nyumba bia zake ili anipe kibali.
Wewe ulikutana na sheria ipi ya ajabu?
hahahaa ndio maana nasema hii comment ihifadhiwe kwa matumizi ya baadae nikipanga tu lazima nikutane na vituko hivyo nitakuja kuleta update!Umepata sifuri...Uzi huu haukuhusu wewe ambaye hujawahi kupanga😀😀
[emoji30][emoji30][emoji30] hapo mdekiji Ni nani???Chooni ndala za kushea,kudeki na tambala la kukamua na mikono
Sijawahi kuelewa watu wanaopanga sehemu bafu liko nje tena halijaezekwa halafu wanaleta uzungu wa kwenda bafuni pamoja. Raha ya kuoga wawili ni muwe ndani mnajiachiaKuna nyumba sheria mojawapo ni hakuna kuoga na mke au mume wako
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Hiyo gereza.Ni nyumba ya vyumba sita na wapangaji tupo sita,adhabu inaanzia kwenye umeme,hauruhusiwi kununua umeme inatakiwa umpatie mwenye nyumba pesa yeye ndo atanunua na ukijitia umwamba wa kununua ukimpeleka token hakubali
Choo ni kimoja na hakuna bomba ilhali nyumba ina maji ya dawasco,hivyo yeye ndo anachukua maji kujaza chooni ,ndoo moja asubuhi,moja mchana na moja jioni, na maji yakiisha kabla haweki na mtachambia makaratasi......hapa nasubiria Kodi yangu iishe nihame
Hiyo gereza.
Nashukuru katika kipindi chote cha kupanga sijawahi kutana na vimbwanga.
Na nilijiwekea kanuni uwa sipangi nyumba ambayo mwenye nyumba anaishi maeneo hayo na ambayo mwenye nyumba anaitegemea kuendesha maisha yake.
Kujua kuwa mwenyenyumba haishi humo ni rahisi ila kujua kuwa haitegemei hiyo nyumba kuendeshea maisha ni ngumuHiyo gereza.
Nashukuru katika kipindi chote cha kupanga sijawahi kutana na vimbwanga.
Na nilijiwekea kanuni uwa sipangi nyumba ambayo mwenye nyumba anaishi maeneo hayo na ambayo mwenye nyumba anaitegemea kuendesha maisha yake.
"mimi niliambiwa kama nataka kulewa home nataka kumnunulia mama mwenye nyumba bia zake ili anipe kibali"Mimi niliambiwa kama nataka kulewa home nataka kumnunulia mama mwenye nyumba bia zake ili anipe kibali.
Wewe ulikutana na sheria ipi ya ajabu?
Na tambala ndo tam[emoji30][emoji30][emoji30] hapo mdekiji Ni nani???
Changeni mnunue ile rubber squeeze
Kung'oa matembele na Kuacha kulima matembele mara moja. Kipindi hiko Sina kazi. Sasa yale matembele angalau watoto walikuwa Wana uhakika wa kula ugali matembele kila siku. Nikaambiwa.... Sitaki kuona huo uchafu wa mamboga mboga unalima kwenye nyumba yangu.... 😭😂Mimi niliambiwa kama nataka kulewa home nataka kumnunulia mama mwenye nyumba bia zake ili anipe kibali.
Wewe ulikutana na sheria ipi ya ajabu?
Umewahi pika kiti moto?Mama mwenye nyumba alikuwa Food taster[emoji119][emoji119]Nikipika chochote lazima nimpe akionje. Usipompa ananuna.