Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Marufuku kurudi nyumbani beyond saa tatu usiku.Mimi niliambiwa kama nataka kulewa home nataka kumnunulia mama mwenye nyumba bia zake ili anipe kibali.
Wewe ulikutana na sheria ipi ya ajabu?
Mimi niliambiwa kama nataka kulewa home nataka kumnunulia mama mwenye nyumba bia zake ili anipe kibali.
Wewe ulikutana na sheria ipi ya ajabu?
Duuuh asa chakula nani anpika[emoji28][emoji28][emoji28]
Sheria kipindi cha Ramadhan mnafuturu kama familia Mweny nyumba anafamilia ya kama watu 8
Oyaaa hii kweli?Nilipanga nyumba moja miyeyusho ukinunua nguo mpya lazm umwambie mama mwny nyumba alaf huruhusiwi kuja na mgeni yoyot hasa Dem mrembo
HuhuhuhuNikitembelewa na mgeni eti kila siku atakayo ishi mgeni nalipia buku, "mimi nimekupangisha wewe tu"
Duuuh huu uwanga mdauSharti kila ijumaa usiku mnaamshwa kuimba pambio za kuwaita wakuu alafu kila mtu anapigiwa ramli kama ulichepuka unaambiwa mbele ya mkeo
Sent from my SM-G988N using JamiiForums mobile app
Mtoto wako haruhusiwi kucheza na mtoto wa mwenye Nyumba na wala haruhusiwi kuzagaa hapo nje kwenye baraza ufungue ndani
Kama una mgeni kbla hajaingia ndani umpitishie kwanza Kwa mwenye nyumba umtambulishe
Hii ilinipa tabu michezo ya watoto mara ashike mlango abamize mwenye nyumba anakua kama moyo wake umebamizwa jmosi mtoto asipoenda shule akicheza akumbuke pensel aanze kuchora ukuta unaweza piga mtoto kwa stress za mwenye nyumba lkn mwisho wa siku unapambana mambo yalivyonishinda nikaama kwa kweliMtoto wako haruhusiwi kucheza na mtoto wa mwenye Nyumba na wala haruhusiwi kuzagaa hapo nje kwenye baraza ufungue ndani
Mimi niliambiwa kama nataka kulewa home nataka kumnunulia mama mwenye nyumba bia zake ili anipe kibali.
Wewe ulikutana na sheria ipi ya ajabu?
Niliona hii sehemu mama mwenye nyumba anaomba maharage kwa mpangaji wake nilishangaa sana yaan kapika ugali kisha mboga anaomba kwa jirani
Aiseee nyumba gani hiiSharti kila ijumaa usiku mnaamshwa kuimba pambio za kuwaita wakuu alafu kila mtu anapigiwa ramli kama ulichepuka unaambiwa mbele ya mkeo
Sent from my SM-G988N using JamiiForums mobile app
Mkuu iyo kweli kabis nlikaa mwez tu nkaondokaOyaaa hii kweli?