Ni masharti gani ya ajabu uliwahi kukutana nayo nyumba ya kupanga?

Nasoma comments za wenye nyumba
 
Unakwenda kunya, wapangaji wenzako na watoto wao wote wako karibu na mlango wa choo. Ukitoka wanakuangalia kama mwizi vile.
 
Poleni sana, kuna mambo yanafurahisha sana...
 
Maeneo ya kawe choo kimejaa mama mwenye nyumba anataka wapangaji tuchangshane kuzibua kisa yeye hakai pale na tunaojaza choo ni wapangaj.dadekii nligoma kwan vepe mm nyumba natembea nayo kwa wallet yang ntapanga sehemu ingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…