Ni mashine gani ambayo ukiipata itafungua njia zako za kibiashara?

Umeongea pointi kubwa sana
 
nikipata air compresor za kwenye migodi na trector.... fresh kabsa
kaongee na dotcom machinery wapo kisutu na india street. wanaweza kukusaidia ukafanya installment.
ila nakushauri ukiwa tayari ingia alibaba agiza kutoka nje tumia silent ocean kama agent.
 
Mkuu ,unaweza kutueleza garama uliyotumia kama hutojali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…