Ni mashine gani ambayo ukiipata itafungua njia zako za kibiashara?

Naungana na wewe, kupitia huu uzi unaweza ukapata chochote
Kweli kabisa....humu unaweza kupata wazo la biashara, unaweza kupata mbia wa kibiashara kwa kuunganisha mitaji, unaweza kupata sponsor wa idea yako ya biashara....yote yanawezekana.....ni kutulia tu na kuwa makini na comments
 
Vijana mkiwa mnahitaji mashine za ku watoa zingatieni haya:

*Kodi ya Import duty
*Spare au vipuri vya machine
*Power consumption yake
*Production rate ukiliganisha na soko
*Technology na mafundi wa hizo machines.

Watu wengi wameimport machine ila zimewashida kutumia either gharama yake ya oparation iko juu au ni outdated Technology au kukosa spare zake.

Nina machine moja GTO 52 ila fundi wake na msafirisha kutoka mbali kweli kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…