Ni mashine gani ambayo ukiipata itafungua njia zako za kibiashara?

Ni mashine gani ambayo ukiipata itafungua njia zako za kibiashara?

Kila mtu ana ndoto ya kuwa na mradi mkubwa wa biashara.

Lakini lazima tukubali ili ufike sehemu lazima uanzie somewhere.

Kwa wajasiriamali wengi uwa tunatamani ukipata mashine au kifaa fulani basi itakufungulia milango na kukusogeza sehemu kuzifikia ndogo zako.

Mimi moja ya mashine nayotamani kuimiliki ni ya kutengeneza bahasha au vifungashio vya karatasi.

Naamini soko lake sio la kutafuta na ukishaipata mashine production yake haiitaji nguvu kazi kubwa.

Mimi nikiipata hii mashine wateja wangu watakuwa corporate nitakuwa natengeneza bahasha za barua size kubwa mpaka ndogo kabisa na nikipata tenda nitakuwa naweka na logo ya kampuni huska.

Wateja wengine ni wafanyabiashara wadogo kwa ajili ya vifungashio.

Sijajua bongo kama zinatengenezwa ila nimeshaangaika sijazipata ila ukiangiza China zinaanzia bei mil 1.5 kwa ambazo sio express wala auto.
Tutajie mashine yako unayoitamani...

View attachment 2237802
M nataka hii Sokara Cooker sijuw nitapata wapi
FB_IMG_1646118611701.jpg
 
Back
Top Bottom