kokudo
JF-Expert Member
- Oct 26, 2010
- 2,571
- 1,760
Akitaka za mtumba kutoka Uk zipo piaCompressor, zipo mpaka za laki 5 mpaka milioni huko, kutegemea na ukubwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akitaka za mtumba kutoka Uk zipo piaCompressor, zipo mpaka za laki 5 mpaka milioni huko, kutegemea na ukubwa.
Hiyo sio bei yake halisi, hiyo mashine ununuzi tu itakucost zaidi ya 10M. + Usafiri kama 4-5M.Okay mkuu kuna mashine niliiona Alibaba inauzwa 1.5 m ila ni manual nimeitafuta tena sijaipata, hiyo niliyoweka ni sample tu wala sio halisia. Samahani sana kama imewa mislead watu wengine nitaiondoa.
Ila nimekuta hii muda huu [emoji116]
View attachment 2237794
hii mashine naitamani sana
1. Mashine ya kufanya Plastics Recycling.
2. Full Kit of Pressure Washer with its Accessories.
Mashine ya kukata-kata majani ya ng'ombe inaitwa 'silage machine'
Hii chuma nikiwa nayo wewe nunua tu za kufyatulia matofali utaniamkia tu
Mashine ya kuprint logo, pictures na words kwenye nguo, kofia, maboksi and mifuko.
Hii chuma ndio ipo akilini mwangu. Asante kwa mawasiliano
Mashine ya kukata-kata majani ya ng'ombe inaitwa 'silage machine'
Hii chuma nikiwa nayo wewe nunua tu za kufyatulia matofali utaniamkia tu
Mashine ya kuprint logo, pictures na words kwenye nguo, kofia, maboksi and mifuko.
Hio mashine haipo duniani
Dah mkuu ni ngeni kabisa kwangu [emoji4]
Ukishakuwa nayo unaikodisha au unakata majani kisha una supply kwa wafugaji?
Igoogle tu inaitwa silage
Hii ni kwaajili ya ng'ombe wangu tu