Ni mashine gani ambayo ukiipata itafungua njia zako za kibiashara?

Ni mashine gani ambayo ukiipata itafungua njia zako za kibiashara?

Mwaka mmoja nishapata mashine 2 crdb....

Nmb sasa hiv awatoi mashine wanafanya mobile wakala unatumia simu nenda tena unapata kwa haraka....

Ukifatilia unapata
Hio ya CRDB unafanyeje ndugu??
 
Sawah Tuje kwenye wanunuzi, au soko na iyo machine life span yake ni mda gani..??
je katk iko kipindi pesa itakuwa imerudi..
 

Attachments

  • 1411585073 (3).png
    1411585073 (3).png
    116 KB · Views: 113
Halafu kwenye malipo ya ada na mambo mengine yanayo hitaji kupatiwa risiti, wanafanyaje kupitia huo utaratibu wao mpya?
Ndo wameanza sasa, kuna changamoto kidogo, kwa vile watu wamezoea na risiti, lakin mtu akiandika slip ikipigwa muhuri ni sawa sawa tu.....
Lakini kiuhalisia changamoto mno
 
Izo documents unazo....?
Lesen ya biashara, kitambulisho, cheti cha tini, vyote visome jiba moja, barua ya utambulisho, kaombe statement ya c
Kamisheni ya line yako ya uwakala ya miezi mitatu, piga picha 2 biashara yako, pasposti.....
Then nenda tawi ulilopo karibu.....
Nimefanya vyote bado kimya ndugu.
 
Kila mtu ana ndoto ya kuwa na mradi mkubwa wa biashara.

Lakini lazima tukubali ili ufike sehemu lazima uanzie somewhere.

Kwa wajasiriamali wengi uwa tunatamani ukipata mashine au kifaa fulani basi itakufungulia milango na kukusogeza sehemu kuzifikia ndogo zako.

Mimi moja ya mashine nayotamani kuimiliki ni ya kutengeneza bahasha au vifungashio vya karatasi.

Naamini soko lake sio la kutafuta na ukishaipata mashine production yake haiitaji nguvu kazi kubwa.

Mimi nikiipata hii mashine wateja wangu watakuwa corporate nitakuwa natengeneza bahasha za barua size kubwa mpaka ndogo kabisa na nikipata tenda nitakuwa naweka na logo ya kampuni huska.

Wateja wengine ni wafanyabiashara wadogo kwa ajili ya vifungashio.

Sijajua bongo kama zinatengenezwa ila nimeshaangaika sijazipata ila ukiangiza China zinaanzia bei mil 1.5 kwa ambazo sio express wala auto.
Tutajie mashine yako unayoitamani...

View attachment 2237802
Mashine yenye uwezo wa kukatakata majani ya mchaichai sambamba na kukata tangawizi into very small pieces (like that of chips), aisee nitapata faraja sana
 
Back
Top Bottom