rich1
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 3,020
- 3,309
Hio ya CRDB unafanyeje ndugu??Mwaka mmoja nishapata mashine 2 crdb....
Nmb sasa hiv awatoi mashine wanafanya mobile wakala unatumia simu nenda tena unapata kwa haraka....
Ukifatilia unapata
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hio ya CRDB unafanyeje ndugu??Mwaka mmoja nishapata mashine 2 crdb....
Nmb sasa hiv awatoi mashine wanafanya mobile wakala unatumia simu nenda tena unapata kwa haraka....
Ukifatilia unapata
Ipo kama hii njoo pmHij mashine ya kuchapisha mifuko logo nkiipata ntafurahi sanaView attachment 2238801
Hij mashine ya kuchapisha mifuko logo nkiipata ntafurahi sanaView attachment 2238801
Kati ya 15 million mpaka 22 millionbei gani hii kama unajua nitonye
Ndo wameanza sasa, kuna changamoto kidogo, kwa vile watu wamezoea na risiti, lakin mtu akiandika slip ikipigwa muhuri ni sawa sawa tu.....Halafu kwenye malipo ya ada na mambo mengine yanayo hitaji kupatiwa risiti, wanafanyaje kupitia huo utaratibu wao mpya?
Izo documents unazo....?Hio ya CRDB unafanyeje ndugu??
Na ng'ombe wa mayele je?(kidding [emoji4][emoji4][emoji4])Igoogle tu inaitwa silage
Hii ni kwaajili ya ng'ombe wangu tu
Uko wapi mkuu?mimi naweza kupa kwa makubaliano mkuuHapa nkikamatia mashine ya kuparata mkonge ndo kwishney babu G...
Nimefanya vyote bado kimya ndugu.Izo documents unazo....?
Lesen ya biashara, kitambulisho, cheti cha tini, vyote visome jiba moja, barua ya utambulisho, kaombe statement ya c
Kamisheni ya line yako ya uwakala ya miezi mitatu, piga picha 2 biashara yako, pasposti.....
Then nenda tawi ulilopo karibu.....
Mashine yenye uwezo wa kukatakata majani ya mchaichai sambamba na kukata tangawizi into very small pieces (like that of chips), aisee nitapata faraja sanaKila mtu ana ndoto ya kuwa na mradi mkubwa wa biashara.
Lakini lazima tukubali ili ufike sehemu lazima uanzie somewhere.
Kwa wajasiriamali wengi uwa tunatamani ukipata mashine au kifaa fulani basi itakufungulia milango na kukusogeza sehemu kuzifikia ndogo zako.
Mimi moja ya mashine nayotamani kuimiliki ni ya kutengeneza bahasha au vifungashio vya karatasi.
Naamini soko lake sio la kutafuta na ukishaipata mashine production yake haiitaji nguvu kazi kubwa.
Mimi nikiipata hii mashine wateja wangu watakuwa corporate nitakuwa natengeneza bahasha za barua size kubwa mpaka ndogo kabisa na nikipata tenda nitakuwa naweka na logo ya kampuni huska.
Wateja wengine ni wafanyabiashara wadogo kwa ajili ya vifungashio.
Sijajua bongo kama zinatengenezwa ila nimeshaangaika sijazipata ila ukiangiza China zinaanzia bei mil 1.5 kwa ambazo sio express wala auto.
Tutajie mashine yako unayoitamani...
View attachment 2237802
Siku tatu bossKusajili jina la biashara inachukua muda gani?
Inchi ngapi na urefu wa mpira ni mita ngapi mkuu?