Ni mashine gani ambayo ukiipata itafungua njia zako za kibiashara?

Ni mashine gani ambayo ukiipata itafungua njia zako za kibiashara?

1. Machine ya kuchanganya rangi, natamani sana hii kitu, kuanzia rangi za magari, mageti, nyumba..nk

2. Machine ya kutengeneza misumari. Kuna jamaa aliniambia SA ni kama $7,000. Parefu.
Mkuu misumari inatengenezwaje,raw material gani unatumia
 
Mkuu misumari inahitaji chuma kikiwa kwenye form ya wire(kwa thickness ya msumari).

Kupata raw materials sio issue as luna viwanda vingi sana vina process huo "wire"!

Soko lipo lankutosha hasa nje ya dar.
Ok hapo nimekuelewa
 
Back
Top Bottom