Hii unaweza iunganisha kwenye hosepipe moja kwa moja?
Inarusha maji umbali gani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii unaweza iunganisha kwenye hosepipe moja kwa moja?
Nitumie picha pm tafadhaliAnayehitaji mashine ya kutengenezea soft ice cream, 2,100,000 tuu, niliinununua sikuitumia, anayehitaji aniDM
Wanatoa bure?Ukishakua na lesen ya biashara mpya na zaman unazipata kwa uharaka mno.....!
Upo mkoa gan ndugu...?Nimefanya vyote bado kimya ndugu.
Nmb sasa ni bure ila Crdb ni 350k....
Mkuu misumari inatengenezwaje,raw material gani unatumia1. Machine ya kuchanganya rangi, natamani sana hii kitu, kuanzia rangi za magari, mageti, nyumba..nk
2. Machine ya kutengeneza misumari. Kuna jamaa aliniambia SA ni kama $7,000. Parefu.
Kiteto-manyara.Upo mkoa gan ndugu...?
Hio bure c bila machine au???Nmb sasa ni bure ila Crdb ni 350k....
Chuma/chuma chakavu .Mkuu misumari inatengenezwaje,raw material gani unatumia
Sasa si mpaka kiyeyuke kama ujiChuma/chuma chakavu .
NdiyoSasa si mpaka kiyeyuke kama uji
Hapo kazi ipoNdiyo
Mkuu misumari inahitaji chuma kikiwa kwenye form ya wire(kwa thickness ya msumari).Mkuu misumari inatengenezwaje,raw material gani unatumia
Ok hapo nimekuelewaMkuu misumari inahitaji chuma kikiwa kwenye form ya wire(kwa thickness ya msumari).
Kupata raw materials sio issue as luna viwanda vingi sana vina process huo "wire"!
Soko lipo lankutosha hasa nje ya dar.
Wire steel upo kwajili ya kutengenezea misumariMkuu misumari inatengenezwaje,raw material gani unatumia
Kwanini hukuitumia?Anayehitaji mashine ya kutengenezea soft ice cream, 2,100,000 tuu, niliinununua sikuitumia, anayehitaji aniDM
Nilikuwa silijui hiliWire steel upo kwajili ya kutengenezea misumari