Ni mashine gani hapa mjini ukiwa nayo unaweza kujipatia 50000/-isiyo na presha kwa siku?

Ni mashine gani hapa mjini ukiwa nayo unaweza kujipatia 50000/-isiyo na presha kwa siku?

Hii ni pesa mkuuu hatari Sana, unatakiwa pia uwe designer mzuri Sana na how to program it or else its money

Ukiinunua inakuwa na dizaini Kibao wamekuwakea. Ukihitaji dizain za aina yako ama uwe na dizaina wako au watumie picha na vipimo wakupe file lake uipe mashine kufanye kazi.
Chuo kikuu cha dar pale injiniaring wanayo wanakula hela kilaini sana
 
Ukiinunua inakuwa kuna nisaini Kibao wamekuwakea. Ukihitaji za aina yako ama uwe na dizaina wako au watumie picha na vipimo wakupe file lake uipe mashine ufanye kazi.
Chuo kikuu cha dar pale injiniaring wanayo wanakula hela kulaini sana
When you mastered it inakuwa tamu Sana unaweza kuwa na design nobody have asee...all in all when put some effort to it utaijua nje ndani.
 
Hii ndiyo kitu gani mkuu?

Hizi ndio zinatumika kutengeneza hayo mabango ya 3D

1-16051QPS40-L.jpg

perspective-logo-building-mockup_253059-201.jpg
 
Ukiinunua inakuwa kuna nisaini Kibao wamekuwakea. Ukihitaji za aina yako ama uwe na dizaina wako au watumie picha na vipimo wakupe file lake uipe mashine ufanye kazi.
Chuo kikuu cha dar pale injiniaring wanayo wanakula hela kulaini sana
Design vectors zipo ambazo zinauzwa, nyingine free na nyingine mtu utengeneze mwenyewe.
 
Tafuta ile mashine ya wachina uwe unabetisha. Au nunua smart phone uwe unabet online michezo ya Casino kupitia meridiabet tz. Utakuja kunishukuru. Unaingiza hata 200k per day.
NB: kuwa makini maana kubeti sito kuzuri japo japo kwa sasa Tz karibu kila mtu anabet kwa njia tofauti tofauti
 
Chainsaw Ila kwa migodini ya wachimbaji wadogowadogo hizi gold rush

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Nina infos hata crusher ya mawe imafedha kweli migodini hasa wachimba dhahabu, tatizo kulitenheneza mpaka upate diff la tractor! Lakini kwa infos hugharimu 15mil,huwa kwa infos za juu juu halikosi 200,000/-p/day!
 
Back
Top Bottom