Kalaga Baho Nongwa
JF-Expert Member
- Sep 27, 2020
- 9,953
- 23,150
Fursa hiyo vijana changamkieniHahahaha sijui umewaza nini kiukweli nimecheka sana, kila nikisoma nikianza kufikiria .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fursa hiyo vijana changamkieniHahahaha sijui umewaza nini kiukweli nimecheka sana, kila nikisoma nikianza kufikiria .
Hii ni pesa mkuuu hatari Sana, unatakiwa pia uwe designer mzuri Sana na how to program it or else its money
When you mastered it inakuwa tamu Sana unaweza kuwa na design nobody have asee...all in all when put some effort to it utaijua nje ndani.Ukiinunua inakuwa kuna nisaini Kibao wamekuwakea. Ukihitaji za aina yako ama uwe na dizaina wako au watumie picha na vipimo wakupe file lake uipe mashine ufanye kazi.
Chuo kikuu cha dar pale injiniaring wanayo wanakula hela kulaini sana
When you mastered it inakuwa tamu Sana unaweza kuwa na design nobody have asee...all in all when put some effort to it utaijua nje ndani.
Mihuri tofauti tofauti!!
Computer Numerical Control
hii mashine sio ya kitoto ukiweka mahali na ujue kuitumia. Kuanzia mambo ya mbao hadi chuma.
JF ingekuwa ni jamii tunakutana watu wangekula viboko[emoji23]Uzi ni mzuri. Ila kuna baadhi ya wachangiaji wanaleta masihara eti.
Wapenda utani wana majukwaani yao lakini hawaendi huko!JF ingekuwa ni jamii tunakutana watu wangekula viboko[emoji23]
Hii ndiyo kitu gani mkuu?
Design vectors zipo ambazo zinauzwa, nyingine free na nyingine mtu utengeneze mwenyewe.Ukiinunua inakuwa kuna nisaini Kibao wamekuwakea. Ukihitaji za aina yako ama uwe na dizaina wako au watumie picha na vipimo wakupe file lake uipe mashine ufanye kazi.
Chuo kikuu cha dar pale injiniaring wanayo wanakula hela kulaini sana
Nikweli,When you mastered it inakuwa tamu Sana unaweza kuwa na design nobody have asee...all in all when put some effort to it utaijua nje ndani.
Huko nchi za wenzetu mtu anaweza akalala na crisps usiku, bongo huko usukumani mtu atafia usingiziniFaizaFoxy upande wa cookies upoje?, vitoto vyetu huwa vinapenda sana kula kula, View attachment 2741469View attachment 2741470
Nauza correct score odds bei chee stake 100/= upate 50,000/= Kwa kukaa ndani na kusubiri mpungaNje ya magari na vifaa vya aina hiyo,
Je ni mashine gani au chombo gani cha utendaji wa kazi za kiufundi au ukandarasi ukiwa nacho alhamdulilah utapumua.
Bet ni uwehu kabisa bora ukaange maandazi laini / upack na kuuza madukani huwa inalipa vizuri sana.Nauza correct score odds bei chee stake 100/= upate 50,000/= Kwa kukaa ndani na kusubiri mpunga
Nina infos hata crusher ya mawe imafedha kweli migodini hasa wachimba dhahabu, tatizo kulitenheneza mpaka upate diff la tractor! Lakini kwa infos hugharimu 15mil,huwa kwa infos za juu juu halikosi 200,000/-p/day!Chainsaw Ila kwa migodini ya wachimbaji wadogowadogo hizi gold rush
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app