Ni maswali gani unahisi hayajibiki duniani?

Eiyer em save everybody's time including yours,lets get down and discuss facts hii mambo una question kila kitu weeee is no getting boriiing andstooping you so low,mana not every question is answered by a question,some need REAL ANSWERS,stop meandering,jibuu,kama hujui usituchoshe

Unaongelea "Fact" unaijua wewe?

Maana unaweza kudhani "hii" ni fact kwasababu huijui fact ni kitu gani,hapo ndipo nalazimika kukuuliza kama unajua fact ni kitu gani

Hebu niambie!
 
swali langu kukosa jibu,means linaendana na mada husika,upo hapoo...

Umeshindwa kujibu nilichokuuliza ili upate majibu unayoyatafuta unategemea nini?

Endelea kudhani mwezi ni jua!
 
hahhaha u really make me lol,hivi kwani kujibu maswali yako ndo njia ya kujibu yangu?kama unajua jibu why can't you save time and get straight to the point,??UR MEANDERING,coz hujuiiiii jibuuuu,bali una mlolongo wa maswali yasiokuwa na tija....
Do u think maswali yote yanajibiwa kwa maswali??em na me atleast for once nijibu hili swali u'feel how irritating ur questions can get
 
Unaongelea "Fact" unaijua wewe?

Maana unaweza kudhani "hii" ni fact kwasababu huijui fact ni kitu gani,hapo ndipo nalazimika kukuuliza kama unajua fact ni kitu gani

Hebu niambie!

em niambie 'fact' ni nini kwa uelewa wako?tit for tat is quite a fair game
 
Hebu niambie uwezo wa Mungu

Nilifundishwa mungu ana uwezo, wote upendo wote, mkamilifu n.k

Hapa ndipo tatizo linapoanzia

Unapotaka kueleweshwa kuhusiana nausichokijua ni lazima ukubali kutokujua

Nahisi hukunielewa mkuu, hakuna sehemu nimesema namjua mungu, ila nilikwambia nimewahi jifunza kuhusu mungu wa biblia, lakini hakuna aliyethibitisha kwamba yupo katika hayo mafundisho.

Nilikuambia kuwa huwezi kuuliza Mungu alikoanzia kama unamjua
Wewe ukaja na kusema unamjua,nimekuuliza maswali ili nipate uhakika kuwa unamjua matokeo yake hujibu

Narudia tena hakuna sehemu nimesema namjua mungu. Nilikwambua nimewahi jifunza kuhusu mungu wa biblia a.k.a jehovah

Maswali yako yote nimekujibu mkuu

Utawezaje kutaka kujua mwanzo wa kitu wakati hutaki kujibu kama unakijua hicho unachotaka kukijua
Kujua kitu ndio kutakufanya ujue kama kina mwanzo au laa,

Na kujua mwanzo wa kitu ndio chanzo cha kukijua hicho kitu vilevile.

kama hilo hilijui basi utakuwa na kazi kubwa sana ya kufika huko unakotaka kwenda

Narudia tena , kujua chanzo cha kitu ni hatua mojawapo ya kikijua hicho kitu

[/QUOTE]Aisee ......Unafikiri kila swali linajibiwa na jibu?[/QUOTE]

Nini maana ya swali?

Mkuu hata wewe hujui hili?
Kama hujui hilo basi hutaweza kumjua Mungu achilia mbali kupata majibu ya unachotaka kujua!

We hapa ndo hujui , unapoulizwa swali jibu swali usianze kuzunguka
 
hahhaha u really make me lol,hivi kwani kujibu maswali yako ndo njia ya kujibu yangu?kama unajua jibu why can't you save time and get straight to the point,??UR MEANDERING,coz hujuiiiii jibuuuu,bali una mlolongo wa maswali yasiokuwa na tija....
Do u think maswali yote yanajibiwa kwa maswali??em na me atleast for once nijibu hili swali u'feel how irritating ur questions can get

Aiseee!!!!!
 
em niambie 'fact' ni nini kwa uelewa wako?tit for tat is quite a fair game

Ufahamu hauigwi bali unajifunza

Unaiga na visivyoigwa

Kuuliza swali ni rahisi sana lakini kujua kama swali lako litakusaidia chochote na uelewe kile ambacho unataka kuelewa ni kazi kubwa

Nimekuuliza kama unajua fact ni kitu gani kwakuwa wewe ndie ulisema "tuongelee fact" na sio mimi na nikakuambia lengo la kukuuliza kama unajua fact ni kitu gani,unakuja kuniuliza tena mimi fact ni kitu gani

Unashangaza sana

Acha kuiga vitu usivyovielewa binti!
 
unaeshangaza ni wewe,mana mtu kauliza swali unamuuliza swali juu,inahusuu??
I asked again fact ni nini ili nikupe a hint ya jinsi maswali unayouliza yasivyosaidia,bali yanazidi kuchanganya mambo
 
kwa kifupi eiyer anamaanisha hujui unachouliza unaropoka

ye ndo anajua???angekuwa anajua angejibu maswali in the first place na sio kuuliza mengine akidhani anajibu,it's illogical,na ndo mana ninamuuliza Eiyer je maswali yote yanajibiwa kwa maswali???mana he is just questioning,for what purpose,?mtu kauliza si ujibu tujue moja,unauliza kila kinachoulizwa??ARE U THINKING??
 
Last edited by a moderator:
hahhaha u really make me lol,hivi kwani kujibu maswali yako ndo njia ya kujibu yangu?kama unajua jibu why can't you save time and get straight to the point,??UR MEANDERING,coz hujuiiiii jibuuuu,bali una mlolongo wa maswali yasiokuwa na tija....
Do u think maswali yote yanajibiwa kwa maswali??em na me atleast for once nijibu hili swali u'feel how irritating ur questions can get

whats so funny
 
Siondoki pande hii hadi Eiyer anijibu kama kila swali linajibiwa kwa swali??..ametuuliza mengi hata kuyahesabu shida,mui nataka jibu la hili moja tu,
 
Last edited by a moderator:
Nilifundishwa mungu ana uwezo, wote upendo wote, mkamilifu n.k
Kinachokuwa na uwezo wote maana yake hakina ukomo

Si ndio?
Nahisi hukunielewa mkuu, hakuna sehemu nimesema namjua mungu, ila nilikwambia nimewahi jifunza kuhusu mungu wa biblia, lakini hakuna aliyethibitisha kwamba yupo katika hayo mafundisho.
Sasa utatakaje kujua mwanzo bila kumjua?

Narudia tena hakuna sehemu nimesema namjua mungu. Nilikwambua nimewahi jifunza kuhusu mungu wa biblia a.k.a jehovah
Nenda kamjue kwanza halafu ndio uulize kama ana mwanzo

Na kujua mwanzo wa kitu ndio chanzo cha kukijua hicho kitu vilevile.
Sio kweli na nimeshakueleza sababu huko juu
Narudia tena , kujua chanzo cha kitu ni hatua mojawapo ya kikijua hicho kitu
Aiseeeee .......
Nini maana ya swali?
Swali mni maelezo yanayotolea na mtu kuonesha uhitaji wa kujua jambo lililoko kwenye maelezo husika ambayo huitwa swali
We hapa ndo hujui , unapoulizwa swali jibu swali usianze kuzunguka
Niseme mara ngapi kuhusiana na hili?
Ni kweli huelewi au unafanya kusudi ndugu yangu?
 
Back
Top Bottom