Mkuu,Hitler alikufa Brazil.South America kulikuwa na Nazi sympathizers wengi sana.
Vigogo wengi wa Nazi walitorokea Argentina,Brazil kwa kutumia Odessa network run by the Vatican.
Hitler alioa mwanamke mwingine mwenye asili ya kiafrika ili kupoteza suspicions za racist ideology yake
Alifanyiwa plastic surgery na kubadilika kabisa. Hail Hitler !! lol...
Mungu hakuzuia dhambi ili kupima imani ya wanadamu kwake.Mungu aliupenda ulimwengu,je na wanadamu watampenda Mungu au wataupenda ulmwengu?
mbingu ipo wapi ?
Mfano
1. Kuna nini kinaendelea baada ya kifo.?
2. Mwenyezi Mungu alitokea wapi?
Mungu hashindwi chochote? Kama ndiyo; basi mungu anaweza kutengeneza jiwe kubwa ambalo hawezi kulibeba?
Mungu alianza kuwepo lini?
1. Mwulize Yesu alienda huko akarudi 2. swali halina maana. Unachouliza ni kuwa asiye na mwanzo alianza lini?Mfano
1. Kuna nini kinaendelea baada ya kifo?
2. Mwenyezi Mungu alitokea wapi?
Aliyekuwa anaweka mipaka ya nchi na mabara alikuwa amesimama wapi?
swali la kijinga!!
Kitendo cha mtu kuhisi kuna swali ambalo halijibiki sio tatizo kwani hiyo ni hisia tu
Wala hatu deal na hisia za watu hapa maana kuna wengine wana hisia za ajabu ajabu
Hivi unajua maana ya "kufail" wewe?
Sijui kama unajua umuhimu wa kujua maana ya maneno maana unaweza kuja tena na kudai nauliza uliza maswali
The whole thread is absurd kama vile ambavyo wewe ulivyouliza maswali ya ajabu
Huwezi kusema "maswali ambayo hayajibiki" wakati huna hata uhakika kamka hayajibiki
Na hata kama "hayajibiki" leo bado haimaanishi "hayajibiki" bado
Hujui Mungu ni kitu gani halafu unasema "wanasayansi wamedevelop theories za kutosha"
Unajua theory ni kitu gani wewe?
Kwanini unadhani kuna mahusiano kati ya Mungu,sayansi na theory?
Nimeshasema hapa kitendo cha mtu kuuliza tu kuwa "Mungu katokea wapi" ni ishara ya kuonesha mtu huyo hajui chochote kuhusiana na Mungu
Kwanini ujiulize kama "kuna mahali katokea"
Mungu ana sifa gani hadi ufikie kudhani "katokea mahali"?
Huna uwezo wa kuuliza maswali na kujibu maswali utawezaje kumjua Mungu?
Huna uwezo wa kujadiliana na mimi kwenye mambo haya binti
Jipange!
Kwa nini Tanzania ni Maskini?
hujamjibu ila umeonesha kumdharau sidhani km na wewe unamajibu ya hayo maswali