Ni maswali gani unahisi hayajibiki duniani?

Ni maswali gani unahisi hayajibiki duniani?

Mkuu,Hitler alikufa Brazil.South America kulikuwa na Nazi sympathizers wengi sana.

Vigogo wengi wa Nazi walitorokea Argentina,Brazil kwa kutumia Odessa network run by the Vatican.

Hitler alioa mwanamke mwingine mwenye asili ya kiafrika ili kupoteza suspicions za racist ideology yake

Alifanyiwa plastic surgery na kubadilika kabisa. Hail Hitler !! lol...

Evidence???
 
Mungu hakuzuia dhambi ili kupima imani ya wanadamu kwake.Mungu aliupenda ulimwengu,je na wanadamu watampenda Mungu au wataupenda ulmwengu?

Na kwanin wanyama wasingepewa utashi kama wa binadamu?
 
1. Kwa nini viumbe tunatofautiana/tunazidiana kwa mambo mbalimbali hata tukiwa wa jamii moja?
 
je shetani na Mungu wanasaidiana kazi. Si Shetani anamsaidia Mungu kujua watu wa Mungu ni wapi na wa kwake ni wapi kama ilivyo mtihani na mwalimu. je huko si kusaidiana kazi. Pia rejea kisa na AYUBU na shetani na Mungu katika biblia.
 
Kwanini asilimia kubwa ya waafrika ni wajinga? Yani ndio maskini wa dunia kwenye ardhi tajiri kuliko zote duniani.
 
yako mengi sana ila hili hata mkulu wetu lilimshinda.. KWANINI TANZANIA NI MASIKINI
 
Kitendo cha mtu kuhisi kuna swali ambalo halijibiki sio tatizo kwani hiyo ni hisia tu
Wala hatu deal na hisia za watu hapa maana kuna wengine wana hisia za ajabu ajabu

Hivi unajua maana ya "kufail" wewe?
Sijui kama unajua umuhimu wa kujua maana ya maneno maana unaweza kuja tena na kudai nauliza uliza maswali

The whole thread is absurd kama vile ambavyo wewe ulivyouliza maswali ya ajabu
Huwezi kusema "maswali ambayo hayajibiki" wakati huna hata uhakika kamka hayajibiki
Na hata kama "hayajibiki" leo bado haimaanishi "hayajibiki" bado

Hujui Mungu ni kitu gani halafu unasema "wanasayansi wamedevelop theories za kutosha"
Unajua theory ni kitu gani wewe?
Kwanini unadhani kuna mahusiano kati ya Mungu,sayansi na theory?

Nimeshasema hapa kitendo cha mtu kuuliza tu kuwa "Mungu katokea wapi" ni ishara ya kuonesha mtu huyo hajui chochote kuhusiana na Mungu

Kwanini ujiulize kama "kuna mahali katokea"
Mungu ana sifa gani hadi ufikie kudhani "katokea mahali"?

Huna uwezo wa kuuliza maswali na kujibu maswali utawezaje kumjua Mungu?

Huna uwezo wa kujadiliana na mimi kwenye mambo haya binti

Jipange!

hujamjibu ila umeonesha kumdharau sidhani km na wewe unamajibu ya hayo maswali
 
Back
Top Bottom