fungi
JF-Expert Member
- Mar 18, 2014
- 2,539
- 4,672
Wewe mbona umeanzia yai?Mtoto wa nyoka ni nyoka mbona Mtoto wa kuku anaanzia yai
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe mbona umeanzia yai?Mtoto wa nyoka ni nyoka mbona Mtoto wa kuku anaanzia yai
Lakini eva aliendelea kuzaa wa jinsia nyingine
Sio sperm?Wewe mbona umeanzia yai?
Kipi kilianza yai au kuku??!;Mfano
1. Kuna nini kinaendelea baada ya kifo.?
2. Mwenyezi Mungu alitokea wapi?
Mwisho wa dunia upo au haupo??! Na ni lini???Mfano
1. Kuna nini kinaendelea baada ya kifo.?
2. Mwenyezi Mungu alitokea wapi?
Wanababe wa namba nataka kujua,katika hesabu za fedha baada ya trion kuna msamiati mwingine
Hahaaa kweli mkuu
Sperm kirutubish tu cha OvumSio sperm?
Ovum ni nini?Sperm kirutubish tu cha Ovum
Mtoto wa nyoka ni nyoka mbona Mtoto wa kuku anaanzia yai
Moja ya Swali lisilojibika ni hili:Hata nyoka anaanzia yai
Nyoka ni jamii ya Reptile ambao kwa asili yao wote wanataga mayai
Mfano nyoka, kenge, mjusi, kinyonga, mamba, kobe nk
Ahsante
Oi bro hivi ulisomaKulitokea Watu Weus Baada Ya Laana. Na Adam Alikuwa Na Watoto Wengi Wakike Na Kiume Hivyo Wakaoana Wenyewe Na Kuzaa Watoto Ambao Wakaendeleza Yale Maagizo Zaeni Mkaongezeke Na Kuijaza Dunia