Ni maswali gani unahisi hayajibiki duniani?

Dunia inazunguka kwenye muhimili wake..na speed ya dunia kuzunguka kwenye muhimili wake ni sawa na speed na vtu vyote vilivyo duniani..la sivyo ungeenda kazini ukirudi ungeikuta Nyumba yako imehama...ungepata Kazi ya kuitafuta na usingeipata kamwe.

Hahaaa kweli mkuu
 
Kwa nini Tanzania vichaa ni wengi..?!
Tena wengine wamepewa madaraka makubwa..?
 
Mtoto wa nyoka ni nyoka mbona Mtoto wa kuku anaanzia yai

Hata nyoka anaanzia yai

Nyoka ni jamii ya Reptile ambao kwa asili yao wote wanataga mayai

Mfano nyoka, kenge, mjusi, kinyonga, mamba, kobe nk
 
Hata nyoka anaanzia yai

Nyoka ni jamii ya Reptile ambao kwa asili yao wote wanataga mayai

Mfano nyoka, kenge, mjusi, kinyonga, mamba, kobe nk
Moja ya Swali lisilojibika ni hili:

Nani kakwambia ujibu Swali hili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…