Ni maswali gani unahisi hayajibiki duniani?

wanasema dunia ni sayari inayojizungusha ktk mhimili wake.!!sasa ikitokea huo mhimili ukavunjika dunia itaangukia wapi??
 
At when second,conscious mind get into subconscious state of mind(sleeping)????
 
Ulishawahi kufikiri vipi kama kungekuwa hakuna Dunia wala Ulimwengu wala nyota wala Sayari...??

Vipi kama kusengekuwepo Mungu wala Mbingu wala malaika...?

Yani vipi kama kusengekuwepo chochote kile....??
 
Nadhani alienda kijiji jilani.
 
Kwa nini MTU akiongea kiingereza anaonekana mjuvi wa mambo na mwenye ilmu kubwa...

Je ni sawa kupima IQ ya mtu kwa ujuvi wa lugha?
 
Messi ni binadamu??

Swali gumu sana hili,halina majibu


[HASHTAG]#still[/HASHTAG] messi is better than ronaldo#
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…